Picha: Aunt Ezekiel apasuliwa na chupa kwa kugombea bwana

Picha: Aunt Ezekiel apasuliwa na chupa kwa kugombea bwana

angekangoja kale katoto kamalize balehe vizuri na via vya uzazi vingekuwa vimekomaa, kakabaka katoto kawatu, mpaka kamestop kukua, sasa karudi bongo kusaka madushelele yenye chapa za TBS! na huyo yvone kama anataka bwana wa ukuni wake pekee si amuumbe wake amuweke kwenye pochi??? puuuuuuuuuuuuuu, jeff mwenyewe muuza sembe anadhani wake peke yake, wakati aunt ana mimba yake kubwaaaaaaaaaaaaa! <br />
<br />
kama ana hasira ahamishe gesi toka mtwara aielete sinza mori, nikirudi jioni toka job niikute hm. mazacoke!! rubbish!

Alifata heeelaaa....mengine kwa jeff....hahaha. .
 
Wanakinaisha tu wapuuzi,daily maskendo ya ajabu ajabu..ama ndio usuperstar wenyewe ndio huu?pasuaneni tu mpaka sura ziwe hazifahi
 
Sasa kwanini uoleweeeee....ilhali hujamaliza umalaya.shule nazo zinasaidia jamani khaaa
 
Na bado mshahara wa dhambi haujakukalia vizuri kila raha ina karaha ukishindwa sana NILIPO mashamba kibao use ulime
 
Lazima atakuwa ni yule kiboko ya mabishoo maana anawapelekesha sana
 
Mwenyewe anajisifu kkwamba ametoa mimba nyingi sana
 
Back
Top Bottom