Picha: Aunty ezekiel atembelea ubalozi wa Tanzania washington DC

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii wa nyota wa kiwanda cha filamu Bongo, Aunty Ezekiel na mbongo fleva, Kassim Mganga wamepata nafasi ya kutembelea ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington Dc nchini Marekani na kupata fursa ya kupiga picha na baadhi ya watanzania waishio huko.
 
Attachments

  • 1411050385180.jpg
    1411050385180.jpg
    59.7 KB · Views: 2,240
Ni shedaa kaenda kutengeneza movie ninii??
 
Ata haieleweki, mara tunawaona na kassim wote wanajipiga ma selifi yani full shidaa uko marekan watakoma, na hyo cheusi dawa aangalie asije kupitiliza mda wa kukaa uko akapewa ban kama shoga yake mama ubaya sasa ivi ulaya anaisikia instagram
 
Hivi shoga ake haruhusiwi tena kwenda US au??
 
Alipitiliza muda wa kukaa usa akapewa ban takatifu ya kutokukanyaga kule, we unadhan mama ubaya anavyopenda sifa si angekuwa kashaenda? Maana kuna dada yake anaishi uko so nw kushnei
 
Dah
Masikini, pole yake
 
attachment.php

Hivi wanaenda US kufanya deal gani hawa? Au mapoda?
Yaani walisema wanaenda sijui Kwenye sherehe gani sijui hata havieleweki Yaani usanii mtupu.halafu niliona picha nyingine kapiga hapo ubalozi na pajama zile za wakati wa Baridi Yaani alikua Kama Mchezo shoo wa twanga pepeta.halafu kwanini wanapiga piga picha.yaani full ushamba.
 
mkuu wanapiga piga picha ili wazitupie instagram si inajua tena mambo ya show off
 
Kwa mala ya kwanza msanii wa kike kapiga picha ubalozin USA,
(Wapo wapi siku hizi hao ma reporter?)
 
utafikiri wao ndo wa kwanza kwenda.kichefuchefu tu.watu wanaowapokeaga hawamalimbukeni hajiskii aibu...lakini kweli kama ulivyosema show-off zinatesa.
 
Jf naipendaaaaaaaaaa mnamchambua na kumuachia mtu mitundu mwilini Kama kikaango cha vitumbua!!!!!! Kha!!!
 
Back
Top Bottom