Balmoral ni mali ya Falme ya Uingereza
Ni tofauti na Buckingham Palace na Windsor castle ambapo ni ya Crown Estate
Unaweza kuingia Buckingham Palace na kuzuru na kuzunguka mpaka chumba cha Malkia kwa kulipia hela kidogo ila marufuku camera
Buckingham Palace ina vyumba 775
19 ni state rooms, vyumba 52 kwa ajili ya Royals na Wageni wao, 188 kwa ajili ya wafanyakazi, ofisi ziko 92 na Vyoo 78
Balmoral yote ina nyumba 150 zinazojitegemea
Na Windsor castle ina milango 1,514 to be exact
Hivyo ina vyumba 1000
Karibu utalii
Na hawawezi kupigania kwani sio mali zao Bali wanakaa tu hawana Hati miliki zaidi ya Balmoral ambayo ni ya Mfalme atakaekuwepo tu na ndugu wanaishi kwenye mijengo