Picha: Balmoral Castle ni kwikwi!

Picha: Balmoral Castle ni kwikwi!

Kwasasa Wimbo Wa Taifa Wa Uingereza Utabadilishwa
Na Pesa Yao Pia Kutokana Na Kifo Cha Malkia
Anayechukua Majukumu Ni Mfalme

God Save The Queen, Itakuwa God Save The King
Sawa
 
Kwanini nchi za kiafrika hazina mijengo Ya mifano kama hiyo? Kazi kuigana tu na madirisha ya aluminium tu
Haya ni majengo ya miaka ya 1800..Sasa mkuu hiyo miaka sisi tulikuwa wapi? Nami angejenga...mfano wa majengo hayo ni Ikulu yetu ambayo alijenge nadhani Mjerumani...
 
Haya ni majengo ya miaka ya 1800..Sasa mkuu hiyo miaka sisi tulikuwa wapi? Nami angejenga...mfano wa majengo hayo ni Ikulu yetu ambayo alijenge nadhani Mjerumani...
Sasa hivi hizo ramani hazipatikani nini?
 
Back
Top Bottom