Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa.
Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa sana kamanda wa anga, mjomba angu.
Makamanda msiache kutoa hela za uanachama, lipieni kadi zenu, serikali pia endeleeni kutupa ruzuku tutailinda nchi yetu kwa wivu mkubwa. Hongera sana mjomba angu na mama yetu kipenzi kwa maridhiano matukufu.
Mwisho: Kila christmass na pasaka huwa tunakula mbuzi choma na mbege hadi tunasaza. Kama una wivu endelea na wivu ila lipa hela ya uanachama.