Picha: Basi kuna mwanaharakati anaona wivu huko anatamani angeitwa yeye (niyeye)

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa.

Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa sana kamanda wa anga, mjomba angu.

Makamanda msiache kutoa hela za uanachama, lipieni kadi zenu, serikali pia endeleeni kutupa ruzuku tutailinda nchi yetu kwa wivu mkubwa. Hongera sana mjomba angu na mama yetu kipenzi kwa maridhiano matukufu.

Mwisho: Kila christmass na pasaka huwa tunakula mbuzi choma na mbege hadi tunasaza. Kama una wivu endelea na wivu ila lipa hela ya uanachama.

 
Wapigakura wapo kimya wanafaidi matunda ya maridhiano.
Kweli matunda ya maridhiano tumeyaona, kutekwa na kupotezwa kwa Kipanya,Soka na wenzake,Sativa,Dogo Chaula,Mauaji ya kikatili ya Mzee Kibao, uchafuzi wa serikali za mitaa hakika haya ni matunda ya maridhiano binafsi kati ya Sultan Mbowe na Chief Hangaya.
 
Watakuwa wametekwa na lissu?
 
Mangi hayo hayamhusu.

...............Anachojali yeye kapiga vibunda kapita hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…