PICHA: Beyonce apost picha yake ya kwanza akiwa na watoto wake

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Beyonce.png

Mwanamuziki Beyonce ambaye pia ni mke wa rapa Jay Z amepost picha ya kwanza akiwa na watoto wake mapacha Sir Carter na Rumi, Beyonce amepost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter na Instagram.
 
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..

Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..

Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yale maji hayajawahi kumuacha mtoto wa kike salama.Hata awe na maringo vp .

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Safi sana Jay Z na Beyonce..

Hapa akina nanilii walivyopata mtoto, sio kuonyesha vibweka kabla ya kuonyesha picha ya mtoto..

Mara leo waonyeshe ka mguu, mara kesho ka tumbo, siku nyingine kisigino, mara tako la upande mmoja... vimbwanga vitupu..

Jifunzeni kwa hawa mastaa wakubwa.
 
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..

Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..

Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason

Post sent using JamiiForums mobile app
Kipi kimekufanya uwaze hivo
 
Kipi kimekufanya uwaze hivo
Angalia majina ya watoto wake na nick name ya kwake mwenyew"HOOVA"ka sample kutoka "JEHOVA" na mkewe "DIVA" imaanisha nayo mungu wa kike
Hata hyo picha amebeba watoto iangalie vzur kakaa pozi kama la bikira Maria akiwa amembeba Yesu.
Na pia kuna nyimbo flan hv ya mda jina limenitoka kaimba beyonce na jayz inaelezea beyonce wa zaman alishakufa sa hv yupo mwngne ambaye ndo beyonce Diva yaan alizaliwa upya katk mungu mwingne
 
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..

Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..

Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason

Post sent using JamiiForums mobile app

Mkuu funguka acha kuwa Kama Wahenga.

Unamaanisha nini!?
 
Safi sana Jay Z na Beyonce..

Hapa akina nanilii walivyopata mtoto, sio kuonyesha vibweka kabla ya kuonyesha picha ya mtoto..

Mara leo waonyeshe ka mguu, mara kesho ka tumbo, siku nyingine kisigino, mara tako la upande mmoja... vimbwanga vitupu..

Jifunzeni kwa hawa mastaa wakubwa.
Hahaaa nmechek sanaa
kweli kabisa mkuu
 
Angalia majina ya watoto wake na nick name ya kwake mwenyew"HOOVA"ka sample kutoka "JEHOVA" na mkewe "DIVA" imaanisha nayo mungu wa kike
Hata hyo picha amebeba watoto iangalie vzur kakaa pozi kama la bikira Maria akiwa amembeba Yesu.
Na pia kuna nyimbo flan hv ya mda jina limenitoka kaimba beyonce na jayz inaelezea beyonce wa zaman alishakufa sa hv yupo mwngne ambaye ndo beyonce Diva yaan alizaliwa upya katk mungu mwingne

Mmmhhhhhh, Dunia imeisha hamishwa magoli.
 
Back
Top Bottom