PICHA: Beyonce apost picha yake ya kwanza akiwa na watoto wake

PICHA: Beyonce apost picha yake ya kwanza akiwa na watoto wake

Ulaya raha bana hakuna
Kutafta kick kama za kiduanz
Kama Africa yan wao mambo hadharan mda wowote

[Color= yellow]Triple A[/color]
Role model wangu hyu yaani napenda sana anavyojiheshimu 1ya mastaa wachache wakike waliojitambua mapma!!
 
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..

Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..

Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason

Post sent using JamiiForums mobile app
Wajinga ndo wanaamini story za Freemasonry, Illuminati, uchawi na ulozi
 
Safi sana Jay Z na Beyonce..

Hapa akina nanilii walivyopata mtoto, sio kuonyesha vibweka kabla ya kuonyesha picha ya mtoto..

Mara leo waonyeshe ka mguu, mara kesho ka tumbo, siku nyingine kisigino, mara tako la upande mmoja... vimbwanga vitupu..

Jifunzeni kwa hawa mastaa wakubwa.
Kwani Lazima kuiga kila kitu wanachofanya wao? Mwisho utasema hata wazazi wa mastar wabongo wawe mashoga sababu Mama wa jayz ni shoga

Maisha yao uchaguzi wao
 
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..

Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..

Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason

Post sent using JamiiForums mobile app
Unganisha dots
Church of bey

spend less, save more
 
Role model wangu hyu yaani napenda sana anavyojiheshimu 1ya mastaa wachache wakike waliojitambua mapma!!
It's true yan kat ya mastaa
Wa kike wanaojitambua 1first
N huyu madam anajielewa sana
Af anafatia bivue shakira

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Angalia majina ya watoto wake na nick name ya kwake mwenyew"HOOVA"ka sample kutoka "JEHOVA" na mkewe "DIVA" imaanisha nayo mungu wa kike
Hata hyo picha amebeba watoto iangalie vzur kakaa pozi kama la bikira Maria akiwa amembeba Yesu.
Na pia kuna nyimbo flan hv ya mda jina limenitoka kaimba beyonce na jayz inaelezea beyonce wa zaman alishakufa sa hv yupo mwngne ambaye ndo beyonce Diva yaan alizaliwa upya katk mungu mwingne
^
Mmmm
Ilitakiwa awabebe vipi au mgongoni?
 
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..

Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..

Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason

Post sent using JamiiForums mobile app

freemason hawampingi Yesu, ni just organization tu

Illuminati ndio organization yenye structure kama freemason ila ndio antichrist
 
Back
Top Bottom