Umekujaaa kichwaniYale maji hayajawahi kumuacha mtoto wa kike salama.Hata awe na maringo vp .
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Hata ww ni matokeo yake. NyumbuUjinga
Umekujaaa kichwani
Kipi kimekufanya uwaze hivoJay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..
Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..
Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason
Post sent using JamiiForums mobile app
Angalia majina ya watoto wake na nick name ya kwake mwenyew"HOOVA"ka sample kutoka "JEHOVA" na mkewe "DIVA" imaanisha nayo mungu wa kikeKipi kimekufanya uwaze hivo
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..
Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..
Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahaaa nmechek sanaaSafi sana Jay Z na Beyonce..
Hapa akina nanilii walivyopata mtoto, sio kuonyesha vibweka kabla ya kuonyesha picha ya mtoto..
Mara leo waonyeshe ka mguu, mara kesho ka tumbo, siku nyingine kisigino, mara tako la upande mmoja... vimbwanga vitupu..
Jifunzeni kwa hawa mastaa wakubwa.
soma post namb 13 nmemsaidia kujibu kiufupi hayo machache tu nilioyaandkaMkuu funguka acha kuwa Kama Wahenga.
Unamaanisha nini!?
Angalia majina ya watoto wake na nick name ya kwake mwenyew"HOOVA"ka sample kutoka "JEHOVA" na mkewe "DIVA" imaanisha nayo mungu wa kike
Hata hyo picha amebeba watoto iangalie vzur kakaa pozi kama la bikira Maria akiwa amembeba Yesu.
Na pia kuna nyimbo flan hv ya mda jina limenitoka kaimba beyonce na jayz inaelezea beyonce wa zaman alishakufa sa hv yupo mwngne ambaye ndo beyonce Diva yaan alizaliwa upya katk mungu mwingne
yaan huyu ni illuminati pure kabisaMmmhhhhhh, Dunia imeisha hamishwa magoli.
yaan huyu ni illuminati pure kabisa