Gene da beauty
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 446
- 830
Role model wangu hyu yaani napenda sana anavyojiheshimu 1ya mastaa wachache wakike waliojitambua mapma!!Ulaya raha bana hakuna
Kutafta kick kama za kiduanz
Kama Africa yan wao mambo hadharan mda wowote
[Color= yellow]Triple A[/color]
Wajinga ndo wanaamini story za Freemasonry, Illuminati, uchawi na uloziJay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..
Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..
Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwani Lazima kuiga kila kitu wanachofanya wao? Mwisho utasema hata wazazi wa mastar wabongo wawe mashoga sababu Mama wa jayz ni shogaSafi sana Jay Z na Beyonce..
Hapa akina nanilii walivyopata mtoto, sio kuonyesha vibweka kabla ya kuonyesha picha ya mtoto..
Mara leo waonyeshe ka mguu, mara kesho ka tumbo, siku nyingine kisigino, mara tako la upande mmoja... vimbwanga vitupu..
Jifunzeni kwa hawa mastaa wakubwa.
Unganisha dotsJay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..
Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..
Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason
Post sent using JamiiForums mobile app
It's true yan kat ya mastaaRole model wangu hyu yaani napenda sana anavyojiheshimu 1ya mastaa wachache wakike waliojitambua mapma!!
^Angalia majina ya watoto wake na nick name ya kwake mwenyew"HOOVA"ka sample kutoka "JEHOVA" na mkewe "DIVA" imaanisha nayo mungu wa kike
Hata hyo picha amebeba watoto iangalie vzur kakaa pozi kama la bikira Maria akiwa amembeba Yesu.
Na pia kuna nyimbo flan hv ya mda jina limenitoka kaimba beyonce na jayz inaelezea beyonce wa zaman alishakufa sa hv yupo mwngne ambaye ndo beyonce Diva yaan alizaliwa upya katk mungu mwingne
Jay Z na familia yake naona kama wanaishi maisha fulani hivi very strange..
Jamaa anaweza kuwa kweli yupo ndani ya organization fulani ya kumpinga Yesu..
Inawezakuwa tulivokuwa tunasikia ni kweli kwamba jamaa ni freemason
Post sent using JamiiForums mobile app
sio awabebe mgongoni hyo ni kejeli kwet sisi wakristo^
Mmmm
Ilitakiwa awabebe vipi au mgongoni?
Mimi ni mkristo ila sioni unachoona wewesio awabebe mgongoni hyo ni kejeli kwet sisi wakristo