Picha: Bifu la Diva na Sintah, Wema aingilia kati

Status
Not open for further replies.
hawa warembo ni vicheche,yupo na GK na bado anamwaza Zitto
 
Huyo Diva katumwa na Mbowe kumchafua Zito! ha ha ha
 
Huyo Diva katumwa na Mbowe kumchafua Zito! ha ha ha

Acha ushabiki wa kipuuzi hata kama humpendi Mbowe ingekuwa diva hajulikani na watu tabia yake ilivo mbovu ungesema kwahyo na kugegedana walitumwa mxiiiiew think big
 
Kutana nae sasa kaji piga editings za camera 360 uta data. Kumbe mbovu
 
Attachments

  • 1409381308196.jpg
    64.7 KB · Views: 369

nasema hivi dada umri ungekuwa unahesabika kama km za gari yaani itumikavyo ndo inazeeka nani mzee hapo?
 
Gk yupo busy kuangua mapera

Dinazarde

Hahahahahah umenichekeshaje.. yaani katika vitu zito anajutia ni kuwa na huyu dada aisee .probably t was hit n run ila bi dada kaikomalia..Gk should take notes he's next kudhalilishwa hivi
 
Last edited by a moderator:
Hiyo drama ilikuwepo pia twitter plus drama zake nyingine za instagram imepelekea mwanadada Diva kufungiwa account yake ya twitter baada ya kuriportiwa kuwa ni spam.. Diva she is no longer there .. sijui GK huwa hamshauri vya kupost huyu.. saaa emails za mwaka jana yeye zanini
 
huyu sintah amezidi naye. blog yake siku hizi imejaa udaku tu.

Hata Shigongo naye magazeti yake ni ya udaku tu na anatajirika hahaha wa muwache Sinta.. kwanza hajasema uongo hayo yote ni yakweli Diva kazidi utoto.. wema naye anatafuta pakuongezea tu baada ya movie yao na Diamond kupata break ya tangazo kidogo.
 
Uwiiiiiii kafungiwa kisa nini huyo devil
 
Uwiiiiiii kafungiwa kisa nini huyo devil

Hizo pumba zake anazo post huko insta kuwasema watu wa twitter tena marehemu kuna post kaifuta kamsema sana marehemu alafu anamalizia R.I.P wakammind wakamreport account yake ifungiwe akafungiwa kule.. huyu mdada jamani khaa
 
Kamsema marehemu yupiu nimwagie yote shoga wengine huko twita hatupoo
 
Kamsema marehemu yupiu nimwagie yote shoga wengine huko twita hatupoo

Huyo Betty aliyefariki juzi kuna uziwake hapo sijui jukwaa la siasa au hoja mchanganyiko kuna picha imewekwa ya maneno aliyo andika instagram alafu akayafuta..
 
Huyo Betty aliyefariki juzi kuna uziwake hapo sijui jukwaa la siasa au hoja mchanganyiko kuna picha imewekwa ya maneno aliyo andika instagram alafu akayafuta..

Oooo kumbeee looo
 
Hamna kitu raha kama mwanaume ung'ang'aniwe na mwanamke maana yake anakupa kick ya kuwapata wengine.Nahisi Jamal Malinzi ana mtoto garasa anawaza kugegedwa kila dakika,kila anayemhoji akiwa jinsia yake tofauti anamtaka amgegede.

Mtoto wa nje wa Dioniz Malinzi huyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…