Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
kazi zenyewe ndo hizoHivi hawa mambinti huwa hawana kazi za kufanya jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi zenyewe ndo hizoHivi hawa mambinti huwa hawana kazi za kufanya jamani
hawa warembo ni vicheche,yupo na GK na bado anamwaza ZittoHuyo Diva mbona kama zuzu kuweka email za zzk ndio nini? Ni sifa kwamba umetembea na zitto? Yeye kashakukana kama hajawahi kuwa na wewe kabisa au unatafuta kiki kwa GK kwamba ulimwambia zitto alikuwa mpenzi wako ukamuacha yeye ukaenda kwake (GK) kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwamba umefata mapenzi na si pesa? Kapime Vina Vikali Usipime maana huyo Zana Za Kilimo unayemng'ang'ania umetembea nae Job true true!!
kule hana mpango napo yule mtoto wa kiislamu.tena ana miguno ya kizunguuu ni shiiiidah sema ndo hvyo kanila na kunipoza na mkwanja wa maana kisha kasepa jumla
Huyo Diva katumwa na Mbowe kumchafua Zito! ha ha ha
Pumbavu zaoo wao wana udogo gani mpaka wamuone sinta Mkubwa, wao wana ninii haswaa mfyuuuuuuuu
Wao wenyewe wazeee kila siku kurudisha miaka nyuma mbona wao wanazeeka lakini sinta bado mzuriiii,ana blog acha aandikee maana diva unapenda kuandikwaaa huna lolote umemiss mafungu ya zito kwa Gk umeyakosa atakupa nini zaidi kukuhip hop ndaniii
Dinazarde
Hahahahahah umenichekeshaje.. yaani katika vitu zito anajutia ni kuwa na huyu dada aisee .probably t was hit n run ila bi dada kaikomalia..Gk should take notes he's next kudhalilishwa hivi
huyu sintah amezidi naye. blog yake siku hizi imejaa udaku tu.
Hata Shigongo naye magazeti yake ni ya udaku tu na anatajirika hahaha wa muwache Sinta.. kwanza hajasema uongo hayo yote ni yakweli Diva kazidi utoto.. wema naye anatafuta pakuongezea tu baada ya movie yao na Diamond kupata break ya tangazo kidogo.
Uwiiiiiii kafungiwa kisa nini huyo devil
Hizo pumba zake anazo post huko insta kuwasema watu wa twitter tena marehemu kuna post kaifuta kamsema sana marehemu alafu anamalizia R.I.P wakammind wakamreport account yake ifungiwe akafungiwa kule.. huyu mdada jamani khaa
Yupo busy na kunyonyesha
Kamsema marehemu yupiu nimwagie yote shoga wengine huko twita hatupoo
Huyo Betty aliyefariki juzi kuna uziwake hapo sijui jukwaa la siasa au hoja mchanganyiko kuna picha imewekwa ya maneno aliyo andika instagram alafu akayafuta..
Hamna kitu raha kama mwanaume ung'ang'aniwe na mwanamke maana yake anakupa kick ya kuwapata wengine.Nahisi Jamal Malinzi ana mtoto garasa anawaza kugegedwa kila dakika,kila anayemhoji akiwa jinsia yake tofauti anamtaka amgegede.