Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Watumie hizo fursa vizuri siyo wakizinguana wanachukuliwa magari na nyumba halafu warudi uswahilini
 
Hahahaha,kweli mkuu!


Mkuu fikiria Wema,Kajala,Lulu etc wapewe special TIN # ambapo watalipia 4mln each person kwa 4 installment si zitasaidia kujenga visima sitimbi huko na kuzuia kutupa hela hovyo kwenye vitamasha??!!

Asielipa anazuiwa kusafiri nje ya nchi na akitaka kwenda mkoani lazima akaombe kibali kwa kuwa atakuwa amewekwa kwenye kitengo maalumu cha uchunguzi kufuatilia mienendo ya maisha yake na chanzo cha kipato chake kwani wanatiliwa shaka,hata disco pia marufuku kwani wana bad influence,hawatolipa/kulipiwa tu??!!

Haiwezekani Wema mwenye kaofisi ka computer 2 na kasuzuki kaofisi aseme nyumba yake 400mln! Kanumba kafa bila nyumba na hata Ray hana!!

Haiwezekani Lulu hana hata biashara ya juice ya ukwaju,ubuyu au hata chips kama wapemba na hana hata kazi ya secretary aseme anajimudu kupanga bangaluu,Kanumba kamuua bila hata ya Kibanda!!

Bongo movie kweli kumejaa makahaba,maisha yao maigizo,pesa maigizo,------ maigizo,sura maigizo,waache dharau na hata wakihongwa wafanye future!!!
 
Kwan wanakawiagaa basi tutawasikia soon

Heri hata wangekuwa wanatumia hizo fursa kujiendeleza kufungua biashara za maana,hata wakizinguliwa waendelee kutesa.
Unaweza kuta kodi ya nyumba laki 8 kwa mwezi,gari ya kutembelewa kapewa,mafuta anawekewa,halafu mwisho wa siku anatimuliwa anaanza kurudi kwao,mtu kama Ray C ule mgahawa si kiwango chake na unakuta hata hiyo akili kapewa na mhongaji
 

Ni tabu ponda raha kufa kwaja
 
MoudyBoka

Huyu malaya bora angenyamaza kimya, eti anajimudu nyumba kapangs mwenyew, kwa pesa ipi au filamu ipi? Malaya tu mbwa huyu bora wangelirudisha jela tu ***** likaliwe na manyapara
 
Last edited by a moderator:
Huyu malaya bora angenyamaza kimya, eti anajimudu nyumba kapangs mwenyew, kwa pesa ipi au filamu ipi? Malaya tu mbwa huyu bora wangelirudisha jela tu ***** likaliwe na manyapara

Uzuri wa miili unawadanganya,wakishaanza kuhongwa na kupigwa rungu basi akili zinayayuka na kubaki kamasi,hasikii la muazini wala mpiga kengele!!!!!
 

Aahahahaha si ndoa apo, ray c sasa iv kafulia vibaya, nashangaa mijitu inavyosema eti kajitahid wakat ule mgahawa sio wa hadhi ya staa kama yeye, nj aibu sana

Waache wale bata wachawi tupo apa, halafu akija kufulia nione mimbwa inamtetea apo baadae akianza kuuza mihogo na chapati
 

Sometimes me naamini hizi hela wanazohongwa zina laana. Mbona wanakuwa wajinga hivyo?? Hawahangaiki kuinvest kokote. Kesho wanaporwa kila kitu wanachanganyikiwaje, but atapata buzi jipya na litamuhonga, afu still suala la kuinvest analisahau tena. Mmh hizo hongo sina imani nazo
 
Hivi siku hiz wanaume ni wagumu kuwanunulia nyumba mademu ni kuwapangishia tu,
Sio Lulu tu pia kuna rafiki yangu kapangishiwa bonge la nyumba
Shida yako kununuliwa nyumba? Usijali n'takununulia lakini jina la kwenye hati langu na hati nakaa nayo mwenyewe na ww unabaki na lihati magumashi.
 
Jamaa anachapia kokote kwa hiyo hela anayomhudumia lazma 0713 ihusike,jamaa n mtu wa milupo mikali hata hku kuna kibao kaipa raha n magari then kawamwaga.istoshe hiyo nyumba atakaa mwaka kodi ikiisha kidume anasepa

Badala kikazane kusoma na kufanya filamj, kenyew kanapenda maisha mazur bila kufanya kazi, hawamuoni mwenzao jide? Anaishi maisha mazuri kwa jasho lake mwenyewe
 
Hiyo nyumba itakuwa ipo kule mbezi ya chini karibia na maghorofa ya BOT, kule baa zipo za kumwaga tu, naona na mama yake atapata mabwana wa maana , chezeya

Busara;mu exclude mamake kwenye comments zako mkuu..
 
Badala kikazane kusoma na kufanya filamj, kenyew kanapenda maisha mazur bila kufanya kazi, hawamuoni mwenzao jide? Anaishi maisha mazuri kwa jasho lake mwenyewe

Kuna mabinti wamezaliwa kutoa uroda tu hawana akili y maendeleo,bongo movie n majanga pia tasnia yao kwasasa imedoda mpka 2015 chali,hpo tutakua tunauziwa mbuye kwa wali rost tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…