Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mialiko mingine huwa naitamani,nahofia misuto tu kukupigia zeze!!!
Mialiko kama ipiiii???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mialiko mingine huwa naitamani,nahofia misuto tu kukupigia zeze!!!
Watumie hizo fursa vizuri siyo wakizinguana wanachukuliwa magari na nyumba halafu warudi uswahilini
Hahahaha,kweli mkuu!
Kwan wanakawiagaa basi tutawasikia soon
Mialiko kama ipiiii???
Heri hata wangekuwa wanatumia hizo fursa kujiendeleza kufungua biashara za maana,hata wakizinguliwa waendelee kutesa.
Unaweza kuta kodi ya nyumba laki 8 kwa mwezi,gari ya kutembelewa kapewa,mafuta anawekewa,halafu mwisho wa siku anatimuliwa anaanza kurudi kwao,mtu kama Ray C ule mgahawa si kiwango chake na unakuta hata hiyo akili kapewa na mhongaji
Hapo ulipompa mtu dokezo la kujaribu utamu wa kuwekeza kwenye kabaang,I wish complimentary ya kula hiyo bufee ningepewa mimi!!!
Aaahaha aaha, naona tegeta kwa ridhi kahama, sijui nani kampangishia uko mbezi beach
Huyu malaya bora angenyamaza kimya, eti anajimudu nyumba kapangs mwenyew, kwa pesa ipi au filamu ipi? Malaya tu mbwa huyu bora wangelirudisha jela tu ***** likaliwe na manyapara
Heri hata wangekuwa wanatumia hizo fursa kujiendeleza kufungua biashara za maana,hata wakizinguliwa waendelee kutesa.
Unaweza kuta kodi ya nyumba laki 8 kwa mwezi,gari ya kutembelewa kapewa,mafuta anawekewa,halafu mwisho wa siku anatimuliwa anaanza kurudi kwao,mtu kama Ray C ule mgahawa si kiwango chake na unakuta hata hiyo akili kapewa na mhongaji
Heri hata wangekuwa wanatumia hizo fursa kujiendeleza kufungua biashara za maana,hata wakizinguliwa waendelee kutesa.
Unaweza kuta kodi ya nyumba laki 8 kwa mwezi,gari ya kutembelewa kapewa,mafuta anawekewa,halafu mwisho wa siku anatimuliwa anaanza kurudi kwao,mtu kama Ray C ule mgahawa si kiwango chake na unakuta hata hiyo akili kapewa na mhongaji
Shida yako kununuliwa nyumba? Usijali n'takununulia lakini jina la kwenye hati langu na hati nakaa nayo mwenyewe na ww unabaki na lihati magumashi.Hivi siku hiz wanaume ni wagumu kuwanunulia nyumba mademu ni kuwapangishia tu,
Sio Lulu tu pia kuna rafiki yangu kapangishiwa bonge la nyumba
Jamaa anachapia kokote kwa hiyo hela anayomhudumia lazma 0713 ihusike,jamaa n mtu wa milupo mikali hata hku kuna kibao kaipa raha n magari then kawamwaga.istoshe hiyo nyumba atakaa mwaka kodi ikiisha kidume anasepa
Hiyo nyumba itakuwa ipo kule mbezi ya chini karibia na maghorofa ya BOT, kule baa zipo za kumwaga tu, naona na mama yake atapata mabwana wa maana , chezeya

Badala kikazane kusoma na kufanya filamj, kenyew kanapenda maisha mazur bila kufanya kazi, hawamuoni mwenzao jide? Anaishi maisha mazuri kwa jasho lake mwenyewe