Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Nipishe mie, natumia fursa, ukipata ujumbe huu, mtaarifu na mwenzio, sema hapana kwa umaskini, mabuzi wapo wa kumwaga , wahi nafasi ni chache

Umetafuta mabuzi mda mrefu bila mafanikio? Umechezewa sana na kuambulia bia mbili? Umechokonelewa sana tigo bila kupewa hata vits?, bado hujachelewa unayo nafasi, amka na usimame tena, warumi foundation ipo kwa ajili yako.

Unatamani kuendesha audi q7 kama mama ubaya? Je umechoka kuishi tandale na unataka kupangiwa nyumba nzuri mbezi beach kama lulu?, je unatamani kutumia galaxy note 3 kama lucy na huna uwezo wa kununua?, warumi yupo kwa ajili yako, wahi nafasi ni chache

duh warumi kiboko,utawapata tu kwatangazo hili,mabinti wanataka maisha laini kama sufi bila kufanya kazi,nini kutoa tigo buana mavi yenyewe yanapita bure kwanini usipitishe dushe upate maisha bora,wadada wa mujini offer hiyo.
 
Last edited by a moderator:
duh warumi kiboko,utawapata tu kwatangazo hili,mabinti wanataka maisha laini kama sufi bila kufanya kazi,nini kutoa tigo buana mavi yenyewe yanapita bure kwanini usipitishe dushe upate maisha bora,wadada wa mujini offer hiyo.

Wawahi, watangazie na wengine nafas ni chache
 
Dinazarde siku izi na mimi nimekuwa kuwadi aka dalali, anayetaka madanga/mabuzi ya kuwachuna arusha na jijini dar ani PM, kuunganishwa na pedeshee ni elfu 20 tu , jiunge sasa uuage umaskini

Leo lazma umemeza power bank mana uko full chaji msalimie mama lulu ukimwona mpe no yangu
 
Last edited by a moderator:
Namba ya mama lulu ninayo, anatumia tigo ya kumi na tatu, mkali huyo anaongea kama cherehani

Hpo sawa acha gari mbovu ivute gari mbovu umri huu nikivutwa na gari mpya sukari n presha zitapanda kwa mpigo iwe majanga
 
Jirani leo nataka niende white sands kule, kuna mtu kanipa mtonyo kuna mastaa wanafanya yao kule, so baadae ntatia timu na camera yangu mbona watafurah??

Haya jiranivwe nenda utakuja kutupa feed back ngoja sie tulee ndoa zetu tusije sikia mtu kapangishia kichaa mwenzie nyumba
 
Hivi juyu mtoto hata lepe.la aibu hana. Kitendo cha Kanumba.kumfia kingemfanya awe.na.mausha.private. Low key life. Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
 
am looking for ma John!
where is my Johnnnnny anipangishie nyumba kama ya lulu ha ha ha !
 

Attachments

  • 1411759794785.jpg
    1411759794785.jpg
    32.5 KB · Views: 381
Binamu nimemuona Rio paul kwenye zuku swahil anahojiwa na Penny,basi kaongelea picha za Lucy kua hakupenda alivyovaa,hilo shela halikua special kwa harusii mmmhhh asubiri kuchambwaa tu insta na Lucy
 
Hiki kitoto kinataka kushindana au kujifananisha na mapapa wamjini asokwenda shule, hivi wazee wake hawawezi kumsemesha? Au ndio laana ya Kanumba?....
 
Back
Top Bottom