Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Hhaaaaaa na wakimuona hayupo hawaji akija tu na wao hawa hapo.kwa kupenda umbeaa

Kuna watu huwa wana mambo ya ajabu sana unakuta mtu anaanza kuku provoke ili upate ban hafu mamod hawaangalii chanzo kwanini aliyeanza asipigwe ban pole yake
 
Anaweza asikukimbiee

Hapo pa anaweza hapo ndo pagumu maana hapana uhakika,Ni kumfanya tu aendelee kukutegemea,watu hawataki stress za kibuti,akikupiga kibuti atoke mkavu.Akitaka kununuliwa basi aolewe kabisa ila haya ya kiwizi wizi hapana aiseee
 
Ama kweli papuchi zinalipa ila zingefungiwa mashine za kutoa risiti
 
MoudyBoka

Huyu malaya bora angenyamaza kimya, eti anajimudu nyumba kapangs mwenyew, kwa pesa ipi au filamu ipi? Malaya tu mbwa huyu bora wangelirudisha jela tu ***** likaliwe na manyapara


Chuki Binafsi aka Jealous
 
Last edited by a moderator:
warumi
Jirani naona umekua banned what is the problem?pole sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom