CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Jaribu bahati yako bhana.Huyu dada ni tajiri! Sitomweza!
Hahahahahahaha.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.[/QUOTE
mambo ya kwenda UK tena angekuwa anataka kuishi bongo hapo tungesikilizana kidogo
Hahahahahaha.hapo kwenye vigezo na masharti pamewabana sana
Hahahahahaha.
Muunganishie yule kaka ako,au na yeye hana vigezo?
Majanga hahahahahahahahahahahahahahahaha!yule cha kwake kiko used vibaya sana.........
Kama wewe ni mwanaume mtanzania na unahisi una mapenzi ya kweli naomba tuwasiliane ili nikuunganishe na huyo binti.
Maisha yatakua UK.
Vigezo,uwe na umri kati ya 27-35,uwe hujawahi kukutana na mwanamke yeyote kimwili na vipimo maalumu vitafanyika ili kujua kama ulishawahi kufanya tendo la ndoa au lah!
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Nimewawekea picha yake na aseti baadhi anazomiliki.