Picha: Birthday ya Le Mutuz

Mjumbe wa jumuiya ya wazazi akisheherekea na watoto ili ajue matatizo yawakumbao watoto.Keep it up Mjumbe.
 
Huyu Jamaa kwa sifa za kijinga bana...mpaka anakera. Afu watu wenye mbwembwe kama hawa unakuta dem wake anatafunwa kwa ulaiiiini na muuza urembo mtaani. Siku zote huwa naamini mtu anaehangaika ku prove kwa jamii kua yeye ndo yeye...huwa ana fanya hivyo ku cover a very big weakness aliyonayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…