Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ule ugomvi na mume wako mlishaumaliza?
mwacheni le mutuz ale ujana.mnamuonea wivu sana
Napendwaa sana wanaonichukia ni wewe hamzid kumi ,najua wanichukiaa nilisababisha ukapata talaka tatu
mwacheni le mutuz ale ujana.mnamuonea wivu sana
wanawake wenzio wanaandaa chakula cha mchana we unashinda huku
Mwache ale ujana uzee atashindwa kuumeza.
Mi nipike nichafuke we endelea kupika huko kwa buz lako sijawekwa ndani ili nipikee
umewekwa ndani ili ufanye nini?
umewekwa ndani ili ufanye nini?
le mutuz katimiza miaka 35,
mwacheni le mutuz ale ujana.mnamuonea wivu sana
Kwa lipi labda?????????