William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
mi naongea na wewe kwa heshima zote kama mzazi wangu na wewe ongea na mimi kwa heshima zote kama mwanao
- Yaani umejisema mwenyewe kwamba ni garbage, watu wanakura bata tena batan na wabebez wa ukweli wewe unalia lia unalia nini tuliza boli na utaisoma hapa mpaka mwisho wa maisha yako U know, kama huna maisha pole sisi tunayo na utayasoma hapa tu kudadeki le mburulazzz!!
Le Mutuz
kila nikiangalia sura ya ze mutuz na anayoandika najikuta najibishia kama ni kweli yeye ndo anayoandika...dah!kuna wajanja flani wanamjaza upepo naye anajaa kumbe wanamchora!...jitu mwili pipa akili kisoda
we pimbi ungepewa muonekano na ujana sijui ingekuwaje!...
- Mkuu wewe ni mburulazzz maisha yako ya kizee na kishamba usilazimishe wote tuwe kama wewe usinifundishe namna ya kuishi nani kakupa hayo mamlaka? just shut up endelea na maisha yako ya kishamba mimi ninaishi my life na utaisoma hapa always kama hutaki jiue au kula chupa, ila hapa utaisoma tu mimi sina tabia ya kunyamza huwa ninajibu kama una tatizo kaa mbali na post zangu ila huwezi kunifundisha how to behave wewe lets say una maadili mazuri makubwa sana so what mimi sina maadili and I love it, ok!!
Le Mutuz
- Wewe utaelewa tu! ha! ha1 ha!
Le Big Show
Kaka Mimi binafsi ni shabiki wako mkubwa sana na mfuatiliaji mkubwa wa wananchi blog nadhani huwezi kunikumbuka sababu una mashabiki wengi sana lakini kama utaweza kukumbuka nilikuomba kupiga picha na wewe pale wenge garden kwenye miss ukonga baada ya mashindano kuisha nilidhani ungekataa lakini ukasema poa.ndio maana hata ulivyonijibu vibaya sijamind labda ukunielewa vizuri
- Wewe mjinga I make a lot of money from mitandao mjinga hapa ni wewe ambaye huna clue ya unachokisoma hapa na unachojibu, ndio tabia ya wabongo wengi kujifanya kujua wakati hujui lolote, mimi ndio Le Mutuz Big Show le baharia kama huwezi habari zangu zima computer ama sivyo utazisoma tu na utaelewa tu!!
Le Mutuz
Wewe Babu Me Nakufananisha Na Shilole, Yani Ni Moja Ya Watu Wenye Vichwa Vya Kuku, Watu Wazima Lakini Mambo Yao Kimbwiga, Ujinga Ujinga Tu, Ela Wanashika Watu Wangapi Bwana, Kweli Bora Ukose Mali Upewe Akili Nimeamini.
Hivi Huyu jamaa amepoteza cheti chake cha kuzaliwa nini?
Kaka Mimi binafsi ni shabiki wako mkubwa sana na mfuatiliaji mkubwa wa wananchi blog nadhani huwezi kunikumbuka sababu una mashabiki wengi sana lakini kama utaweza kukumbuka nilikuomba kupiga picha na wewe pale wenge garden kwenye miss ukonga baada ya mashindano kuisha nilidhani ungekataa lakini ukasema poa.ndio maana hata ulivyonijibu vibaya sijamind labda ukunielewa vizuri
- Wewe unajisema kwamba huna akili mimi this is business wewe ni kelele za mlango unajua debe tupu, na wewe fanya birthday yako uweke kama huwezi kaa pembeni usome zetu na utazisoma mpaka mwisho wako au ujifunze na wewe kuweka hapa ok!! ha! ha1 ha! unaandika pumba tu[pu!!
Le Mutuz
Huyu na mwigulu hua hawapendwii jamanii lo
Miaka 52, Mbona Bado Sio Umri Wa Akili Za Binadamu Kurudi Kwenye Ujinga Wa Kitoto.
Kweli aiseh ila pia haikuwa na haja kuchanganya kiswahili na kiingereza mkuu; halafu usijifanye mbabe kubali kosa ujisahishe kwani nina uwezo wa kukusababishia utolewe humu kabisa