ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Le Mutuz a.k.a Le bilionea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Una Miaka 50 Na Zaidi, Mbona Akili Zako Ni Kama Vijana Wa Div 5.
u know hawajui wale mabebez wa ukwelezzz unaopiga nao picha wengine wanakufuata wenyewe ili watokee kwenye instagram ac yako au kwenye blog kubwa mwananchi wajulikane kama wanajuana na le mutuz wauze kazi zao ha ha ha
- Una maana The King of all bongo network Social Media au? ha1 ha! ha! au una maana Le Big Show? ha! ha!
Le Big show
Lemutuz ni mtu wakumhurumia kwani umri pia mwili wake na akili ni inversely proportional yaani jinsi mwili unavyokuwa mkubwa ndivyo anavyozidi kuwa mjinga.
SASA kaka lemutuz mbona sasa ukanikimbia?siku ile kwenye simu kuhusu yule dada T?okay najua mambo mengi msalimie ukiwasiliana naye nasikia kwa sasa yupo US- Yaaani wewe umenivunja mbavu U know, daaaamn!!
Le Mutuz
Lemutuz ni mtu wakumhurumia kwani umri pia mwili wake na akili ni inversely proportional yaani jinsi mwili unavyokuwa mkubwa ndivyo anavyozidi kuwa mjinga.
Hivi ndivyo ilivyokuwa
I guess only totoz where invited..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Lemutuz ni mtu wakumhurumia kwani umri pia mwili wake na akili ni inversely proportional yaani jinsi mwili unavyokuwa mkubwa ndivyo anavyozidi kuwa mjinga.
hili jamaa ushuzi kweli...
huyu mzee ana vituko balaa, hapa jumanne melecela alikula hasara
- HA! HA! HA! UNAAMAANA le big show? ha1 ha! ha!, nyie subirini mtasoma tu hapa kila wakati kama huna maisha sio wote lazima tuwe kama wewe! ha! ha!
Le Mutuz
- HA! HA! HA! UNAAMAANA le big show? ha1 ha! ha!, nyie subirini mtasoma tu hapa kila wakati kama huna maisha sio wote lazima tuwe kama wewe! ha! ha!
Le Mutuz
Wewe Ni Dada/Kaka Yake.??
Mkuu unapojibu post za watu jaribu kuwa makini otherwise utajishushia heshima yako.MTU makini anakosoa lakini hatukani ukimuona mtu badala ya kukukosoa yeye anatukana mnyamazie kimya maana na wewe utaonekana ni mtukanaji.halafu kuna huu ukweli "maskini adui yake mkubwa ni tajiri".