Picha: Birthday ya Le Mutuz

Picha: Birthday ya Le Mutuz

u know hawajui wale mabebez wa ukwelezzz unaopiga nao picha wengine wanakufuata wenyewe ili watokee kwenye instagram ac yako au kwenye blog kubwa mwananchi wajulikane kama wanajuana na le mutuz wauze kazi zao ha ha ha

- Yaaani wewe umenivunja mbavu U know, daaaamn!!

Le Mutuz
 
Lemutuz ni mtu wakumhurumia kwani umri pia mwili wake na akili ni inversely proportional yaani jinsi mwili unavyokuwa mkubwa ndivyo anavyozidi kuwa mjinga.
 
jamani.....sasa ndo kusema hamisa kashinda nini sasa mpaka aseme mlango umefungwa! si hatariiiiii hii?
 
Lemutuz ni mtu wakumhurumia kwani umri pia mwili wake na akili ni inversely proportional yaani jinsi mwili unavyokuwa mkubwa ndivyo anavyozidi kuwa mjinga.

yaaaani wewe kuna mtu kaniboa yaani usiku huu nampigia simu hapokei sms hajibu...sasa kujiliwaza si ndo hapa jf...sms yako imenifanya hata huyo anayenikosesha raha nisimuwaze sana.......jamani ivi unajua le mutuz vizuri?atakupoteza shauri yako....
 
- Yaaani wewe umenivunja mbavu U know, daaaamn!!

Le Mutuz
SASA kaka lemutuz mbona sasa ukanikimbia?siku ile kwenye simu kuhusu yule dada T?okay najua mambo mengi msalimie ukiwasiliana naye nasikia kwa sasa yupo US
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa

I guess only totoz where invited..

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

hili jamaa ushuzi kweli...
 
Lemutuz ni mtu wakumhurumia kwani umri pia mwili wake na akili ni inversely proportional yaani jinsi mwili unavyokuwa mkubwa ndivyo anavyozidi kuwa mjinga.

- Mkuu naona ungejihurumia wewe kwanza maana you have ni life ya kuonyesha kwenye media Social netowrk so utakufa kama ulivyo na utazikwa na ndugu zako tu coz hakuna anayekujua, mwili na akili zangu zipo sawa sana ndio maana ninakuwa The King of All Bongo Network Social Media ninalipwa wewe kazi yako kuja kulia lia huku kuhusu Le Big Show maana unajua ngoma ni kubwa hii, pole sana mkuu!!, wewe huna maisha sisi tunayo na utayasoma tu hapa always!!

Le Mutuz
 
hili jamaa ushuzi kweli...

- Yaani umejisema mwenyewe kwamba ni garbage, watu wanakura bata tena batan na wabebez wa ukweli wewe unalia lia unalia nini tuliza boli na utaisoma hapa mpaka mwisho wa maisha yako U know, kama huna maisha pole sisi tunayo na utayasoma hapa tu kudadeki le mburulazzz!!

Le Mutuz
 
huyu mzee ana vituko balaa, hapa jumanne melecela alikula hasara
 
huyu mzee ana vituko balaa, hapa jumanne melecela alikula hasara

- HA! HA! HA! UNAAMAANA le big show? ha1 ha! ha!, nyie subirini mtasoma tu hapa kila wakati kama huna maisha sio wote lazima tuwe kama wewe! ha! ha!

Le Mutuz
 
- HA! HA! HA! UNAAMAANA le big show? ha1 ha! ha!, nyie subirini mtasoma tu hapa kila wakati kama huna maisha sio wote lazima tuwe kama wewe! ha! ha!

Le Mutuz

Mkuu unapojibu post za watu jaribu kuwa makini otherwise utajishushia heshima yako.MTU makini anakosoa lakini hatukani ukimuona mtu badala ya kukukosoa yeye anatukana mnyamazie kimya maana na wewe utaonekana ni mtukanaji.halafu kuna huu ukweli "maskini adui yake mkubwa ni tajiri".
 
- HA! HA! HA! UNAAMAANA le big show? ha1 ha! ha!, nyie subirini mtasoma tu hapa kila wakati kama huna maisha sio wote lazima tuwe kama wewe! ha! ha!

Le Mutuz

mi naongea na wewe kwa heshima zote kama mzazi wangu na wewe ongea na mimi kwa heshima zote kama mwanao
 
kila nikiangalia sura ya ze mutuz na anayoandika najikuta najibishia kama ni kweli yeye ndo anayoandika...dah!kuna wajanja flani wanamjaza upepo naye anajaa kumbe wanamchora!...jitu mwili pipa akili kisoda
 
Mkuu unapojibu post za watu jaribu kuwa makini otherwise utajishushia heshima yako.MTU makini anakosoa lakini hatukani ukimuona mtu badala ya kukukosoa yeye anatukana mnyamazie kimya maana na wewe utaonekana ni mtukanaji.halafu kuna huu ukweli "maskini adui yake mkubwa ni tajiri".

- Mkuu wewe ni mburulazzz maisha yako ya kizee na kishamba usilazimishe wote tuwe kama wewe usinifundishe namna ya kuishi nani kakupa hayo mamlaka? just shut up endelea na maisha yako ya kishamba mimi ninaishi my life na utaisoma hapa always kama hutaki jiue au kula chupa, ila hapa utaisoma tu mimi sina tabia ya kunyamza huwa ninajibu kama una tatizo kaa mbali na post zangu ila huwezi kunifundisha how to behave wewe lets say una maadili mazuri makubwa sana so what mimi sina maadili and I love it, ok!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom