Baba kala hasara hapa
- ha! ha! ha! ha! ha! le mburulazzzz mnanivunja mbavu sana next month ninaangusha anaother big bash so stay tuned people okeeee!! hamna umri hapa kama huwezi haya mambo kaa pembeni okee!!
Le Mutuz!!
- HA! HA! HA! Mkuu sana zuzu mimi na wewe ni nani, mimi nalipwa kuwepo humu mitandaoni wewe hilipwi sasa amua mwenyewe zuzu ni nani hapa! ha! ha! ha! chezeya Le Big Show!!
Le Mutuz
We mzee kuna siku nilikuona eatv ukiojiwa ulionekana kama mtu unayejielewe, kumbe ni BOGUS kabisa.
- Una maana The King of all bongo network Social Media au? ha1 ha! ha! au una maana Le Big Show? ha! ha!
Le Big show
huyo ndio Le Zuzuz Le Taahiraz
huyo ndio Le Zuzuz Le Taahiraz
Wewe lodilofa mi sihitaji social media kunitangaza ila nakushangaa kwanini humo kichwani hazimo wakati wewe ni mtu mzima. Pili ishu ya kuzikwa mimi hata mtu mmoja akinizika au wengi kwani nitawaona wakati nitakuwa mfu. We kweli akili simekufa kama unavyowaza msiba. Empty set kwelikweli wewe.- Mkuu naona ungejihurumia wewe kwanza maana you have ni life ya kuonyesha kwenye media Social netowrk so utakufa kama ulivyo na utazikwa na ndugu zako tu coz hakuna anayekujua, mwili na akili zangu zipo sawa sana ndio maana ninakuwa The King of All Bongo Network Social Media ninalipwa wewe kazi yako kuja kulia lia huku kuhusu Le Big Show maana unajua ngoma ni kubwa hii, pole sana mkuu!!, wewe huna maisha sisi tunayo na utayasoma tu hapa always!!
Le Mutuz
huyo ndio Le Zuzuz Le Taahiraz
Wewe lodilofa mi sihitaji social media kunitangaza ila nakushangaa kwanini humo kichwani hazimo wakati wewe ni mtu mzima. Pili ishu ya kuzikwa mimi hata mtu mmoja akinizika au wengi kwani nitawaona wakati nitakuwa mfu. We kweli akili simekufa kama unavyowaza msiba. Empty set kwelikweli wewe.
huyo ndio Le Zuzuz Le Taahiraz
Jimbululaahz
Hili jamaa ni boya! Yaan kwa umri wake ni wa kufanya bday party na mabinti ambao wanaweza kuwa binti zake? Very prematured SOB!
huyu mzee ana vituko balaa, hapa jumanne melecela alikula hasara
Hivi ni kweli @W . J.Malecela ndiye anayeandika huo utumbo....au kuna mtu ame-hack acc yake anamuandikia? Mbona siamini asee!