Picha: Birthday ya Le Mutuz

Picha: Birthday ya Le Mutuz

- ha! ha! ha! ha! ha! le mburulazzzz mnanivunja mbavu sana next month ninaangusha anaother big bash so stay tuned people okeeee!! hamna umri hapa kama huwezi haya mambo kaa pembeni okee!!

Le Mutuz!!

We mzee kuna siku nilikuona eatv ukiojiwa ulionekana kama mtu unayejielewe, kumbe ni BOGUS kabisa.
 
- HA! HA! HA! Mkuu sana zuzu mimi na wewe ni nani, mimi nalipwa kuwepo humu mitandaoni wewe hilipwi sasa amua mwenyewe zuzu ni nani hapa! ha! ha! ha! chezeya Le Big Show!!

Le Mutuz

unalipwa na nani we Le Zuzuz
 
- Mkuu naona ungejihurumia wewe kwanza maana you have ni life ya kuonyesha kwenye media Social netowrk so utakufa kama ulivyo na utazikwa na ndugu zako tu coz hakuna anayekujua, mwili na akili zangu zipo sawa sana ndio maana ninakuwa The King of All Bongo Network Social Media ninalipwa wewe kazi yako kuja kulia lia huku kuhusu Le Big Show maana unajua ngoma ni kubwa hii, pole sana mkuu!!, wewe huna maisha sisi tunayo na utayasoma tu hapa always!!
Le Mutuz
Wewe lodilofa mi sihitaji social media kunitangaza ila nakushangaa kwanini humo kichwani hazimo wakati wewe ni mtu mzima. Pili ishu ya kuzikwa mimi hata mtu mmoja akinizika au wengi kwani nitawaona wakati nitakuwa mfu. We kweli akili simekufa kama unavyowaza msiba. Empty set kwelikweli wewe.
 
Hili jamaa ni boya! Yaan kwa umri wake ni wa kufanya bday party na mabinti ambao wanaweza kuwa binti zake? Very prematured SOB!
 
Wewe lodilofa mi sihitaji social media kunitangaza ila nakushangaa kwanini humo kichwani hazimo wakati wewe ni mtu mzima. Pili ishu ya kuzikwa mimi hata mtu mmoja akinizika au wengi kwani nitawaona wakati nitakuwa mfu. We kweli akili simekufa kama unavyowaza msiba. Empty set kwelikweli wewe.

Mkuu nimelipenda jina la lodilofa maana linamfaa muhusika.
 
huyu mzee ana vituko balaa, hapa jumanne melecela alikula hasara

Hivi ni kweli W.J.Malecela ndiye anayeandika huo utumbo....au kuna mtu ame-hack acc yake anamuandikia? Mbona siamini asee!
 
mmmh!asante mungu kwa hichi nilicho nacho sikitafuti kwa kujitoa ufahamu au kusaka umaarufu japo kidogo!
 
Back
Top Bottom