aisee nilikua sifahamu hilo duuhKwisha habari yke unga ni hatari wengi umewapoteza hata cisco pia
Bobby alikua kichwa toka yuko new edition alivyoenda solo ndio akakutana na bibie tayari akiwa teja.toka boby amuoe whitney kipaji chake kikaanza kupotea mana jamaa alikua anatoa hit songs kali.nlikua fan wke sana enzi hizo z ubora wke
I've got this feelin baby,
I've got this feelin inside...
Feel it, feel it, deep inside...
Daah! remember those gud dayz in 1997, wakati RnB ilikuwa ni RnB hasa.
I've got this feelin baby,
I've got this feelin inside...
Feel it, feel it, deep inside...
Daah! remember those gud dayz in 1997, wakati RnB ilikuwa ni RnB hasa.
Jiongeze dogo........ cant you just think outside the box?? Anyways najua utakua unatania tu:A S embarassed:shkamoo kaka
1997 ulikuwa unajua RnB duh
Siku zote nimekua nikimlaumu bobby kama chanzo cha kupotea kisanaa na pia kifo cha Whitney sababu ya drugs.Sasa leo nimepata ukweli.Huyo binti sijui naye ni nini kimemsibu.Si kweli hata kidogo. Whitney ameanza kuvuta bangi na kaka yake aitwaye Michael na baadaye unga. Hata Mama yake amekiri ktk kitabu alichondika kuhusu Maisha ya mwanawe.
Hata kaka yake pia kakiri kuwa walikuwa wanavuta wote
Bobby kamkuta tayari anatumia. Tizama picha za zamani za Whitney utagundua kuna alizopiga akiwa hi.
Mkuu tukona watoto wa 90s wengi sana.So unaposema ulikua unasikiliza RnB miaka ya 1997 anaona ajabu sana.Ha ha haJiongeze dogo........ cant you just think outside the box?? Anyways najua utakua unatania tu:A S embarassed:
Siku zote nimekua nikimlaumu bobby kama chanzo cha kupotea kisanaa na pia kifo cha Whitney sababu ya drugs.Sasa leo nimepata ukweli.Huyo binti sijui naye ni nini kimemsibu.
Tatizo wabongo hatupendi kusoma vitabu. Kuna kitabu kaandika huyu Cicy Houston kaelezea historia nzima ya maisha yake na mpaka alivyozaa hawa watoto ila zaidi focus ilikuww ni kwa Whitney .
Ila ukweli alikuwa hampendi Bobby akiamini kuwa ndo kamfundisha mwanawe madawa. Kumbe ni mtoto wake mwenyewe mkubwa Michael ndo walimwingiza mdogo wao kwenye hiyo mambo.
Kwenye interview na Oprah huyo Michael alikiri kuwa walianza kumvutisha dada yao kabla hata hajapata umaarufu miaka early 80'.
Thanks mkuu kwa darasa.
Si kweli kabisa. Whitney kwanza kuvuta bangi na madawa na Kaka take mkubwa. Sema tu frustration za ndoa take ndiyo zilichochea kupitiliza.Muhuni sio mtu asee
Boby Brown kawaingiza kwenye ngada mama na mwanae, wao wamekufa yeye anadunda tu