Picha: Bobby Brown amtembelea mtoto wake, akiwa na mama wa Whitney Houston

Picha: Bobby Brown amtembelea mtoto wake, akiwa na mama wa Whitney Houston

Bobby alikua kichwa toka yuko new edition alivyoenda solo ndio akakutana na bibie tayari akiwa teja.toka boby amuoe whitney kipaji chake kikaanza kupotea mana jamaa alikua anatoa hit songs kali.nlikua fan wke sana enzi hizo z ubora wke

I've got this feelin baby,
I've got this feelin inside...

Feel it, feel it, deep inside...

Daah! remember those gud dayz in 1997, wakati RnB ilikuwa ni RnB hasa.
 
I've got this feelin baby,
I've got this feelin inside...

Feel it, feel it, deep inside...

Daah! remember those gud dayz in 1997, wakati RnB ilikuwa ni RnB hasa.

Mkuu acha kuna nyimbo yke girl nextdoor na everylittle step zilikua balaa chris brown vi2 vyote anamuiga bobby kuanzia kucheza n kuongea kma ume note
 
Hapa duniani judge you action sana kabla hujafanya.Whitney alikuwa great singer ila mwanaye kama yupo hai bado.Ni Mungu tuu ndio atakaye judge arudishe uhai au auchukue.Madaktari washafanya yao mwisho wao wa ujuzi umekwisha.
 
Si kweli hata kidogo. Whitney ameanza kuvuta bangi na kaka yake aitwaye Michael na baadaye unga. Hata Mama yake amekiri ktk kitabu alichondika kuhusu Maisha ya mwanawe.
Hata kaka yake pia kakiri kuwa walikuwa wanavuta wote
Bobby kamkuta tayari anatumia. Tizama picha za zamani za Whitney utagundua kuna alizopiga akiwa hi.
Siku zote nimekua nikimlaumu bobby kama chanzo cha kupotea kisanaa na pia kifo cha Whitney sababu ya drugs.Sasa leo nimepata ukweli.Huyo binti sijui naye ni nini kimemsibu.
 
Siku zote nimekua nikimlaumu bobby kama chanzo cha kupotea kisanaa na pia kifo cha Whitney sababu ya drugs.Sasa leo nimepata ukweli.Huyo binti sijui naye ni nini kimemsibu.

Tatizo wabongo hatupendi kusoma vitabu. Kuna kitabu kaandika huyu Cicy Houston kaelezea historia nzima ya maisha yake na mpaka alivyozaa hawa watoto ila zaidi focus ilikuww ni kwa Whitney .
Ila ukweli alikuwa hampendi Bobby akiamini kuwa ndo kamfundisha mwanawe madawa. Kumbe ni mtoto wake mwenyewe mkubwa Michael ndo walimwingiza mdogo wao kwenye hiyo mambo.

Kwenye interview na Oprah huyo Michael alikiri kuwa walianza kumvutisha dada yao kabla hata hajapata umaarufu miaka early 80'.
 
Thanks mkuu kwa darasa.
 
Nimekumbuka mbali sana baada ya kumuona jamaa aliyenifanya nipende miziki ya kimarekani bobby brown jamaa ni bonge la kipaji
 
Muhuni sio mtu asee
Boby Brown kawaingiza kwenye ngada mama na mwanae, wao wamekufa yeye anadunda tu
 
Back
Top Bottom