Uchaguzi 2020 PICHA: Boniface Jacob atikisa kata ya Makuburi, CCM yafungishwa virago

Uchaguzi 2020 PICHA: Boniface Jacob atikisa kata ya Makuburi, CCM yafungishwa virago

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni kama vile Shughuli imeisha jimbo la Ubungo, hii hapa ni kata ya Makuburi.

Subpost 4 - Asanteni sana Makuburi Kwa Ushirikiano wenu. ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Asanteni sana Makuburi Kwa Ushirikiano wenu. ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Asanteni sana Makuburi Kwa Ushirikiano wenu. ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Asanteni sana Makuburi Kwa Ushirikiano wenu. ( 640 X 640 ).jpg

 
Kawatingishaje!!!!😃😃😃

Hao wanaonekana.. wanajiuliza.. umeya ulimshindwa.. huyu ni bomu tu.. anatudanganya.. kwanza mupenda kulia lia.. kazi yake kubwa akiwa meya ilikuwa kulalamika tu.. hakuna zuri.. sisi wananchi tuna kumpitusha.. atalii tu akapumuzike
 
Mh. Bony ataongeza uhai wa Bunge, ni zaidi ya wapiga meza 50 wale wakusifu na kuabudu.
 
Wabunge wa upinzanu hawaaminiki wanahongeka kiurahisi

Wanatamaa sana na madaraka + pesa
 
Ni kama vile Shughuli imeisha jimbo la Ubungo, hii hapa ni kata ya Makuburi.

View attachment 1597341View attachment 1597343View attachment 1597344View attachment 1597345
Uneona tweet ya kile kibabu Humphrey slow slow kule twitter?? Kikamalizia likes kwa Magufuli, retweet kwa Lissu, mwisho wa siku hao hao followers wake wakamuonesha Lissu ni nani! Retweets zimekuwa maelfu halafu likes za jiwe hata buku hazijafika!
Hawa jamaa sijui kwanini hawajishtukii kuwa wamekataliwa?
Yani hawataki kabisa kujiandaa kukabidhi nchi, siku hizi wamekosa hoja basi ni pumba tu
 
CCM imekataliwa Karibu kila sehemu ya Bara na Visiwani
Nilikuwa riverside kukawa na kampeni ya chama kimoja fulani Watu waliuliza viwanda vya urafiki vimekufa na fishnet sijui cha maxiwa vijana hawana kazi ielezwe ni sababu gani na matarajio ya baadae ni yapi.HUYU nk mgombea udiwani hakuweza kujibu.
 
Back
Top Bottom