Baadanya Kuona Uchaguzi ulijaa mabalozi Dunja nzima wao wamejaza wafungwa wa uchina😀😀😀Wakuu,
Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni.
Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu.
Hapa ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni huko mkoani Tanga.
Kulikuwa na haja gani ya kuwavalisha hawa Wachina Tshirt za Rais Samia? Au ni wapiga kura wenu hawa?
View attachment 3253463
WadauWakuu,

5RWakuu,

Nimevaa Tshirt ya MAGA na picha la Trump kwani na mimi ni Mmarekani,
Sio kila jambo u alichukulia serious
USSR
Kwani wewe ukienda China ukavaa mavazi yenye picha ya rais wa China kuna shida gani?Wanavaa Tshirt za Rais ili iweje?
Samia ni Rais wao?
Kwanini wasingevaa Tshirt za Xi Jinping?
Kwani wewe ukienda China ukavaa mavazi yenye picha ya rais wa China kuna shida gani?
Wao walipenda kuvaa hivyo usiwapangie... Mbona mimi nimevaa tisheti ya kiduku hapaChina sio multiparty state kama sisi. Wao Rais ni wao wa maisha na ni a partisan state.
Ngoja na wewe nikuulize.
Kwanini hao wachina wasingevaa nguo za kawaida, kwanini wavae Tshirt zenye picha ya Rais? Walikuwa wanataka wafikishe ujumbe gani?
Kwanini wasingevaa Tshirt zenye picha ya Lissu?