Wakuu,
Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni.
Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu.
Hapa ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni huko mkoani Tanga.
Kulikuwa na haja gani ya kuwavalisha hawa Wachina Tshirt za Rais Samia? Au ni wapiga kura wenu hawa?
View attachment 3253463