Picha: Chaneli ya mambo ya Utalii imekuwa chaneli ya Mambo ya Umeme

Picha: Chaneli ya mambo ya Utalii imekuwa chaneli ya Mambo ya Umeme

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Nilikuwa naangalia safari chanel Tanzania, naona matumizi yake yameanza kubadilika, sijui ni kukosa ubunifu au kukosa vipindi

Leo walikuwa wanaongea mambo ya mega watt na kilowatt tu 😂

Sio mambo ya mbuga zetu au Beach zetu

2020-07-19 16.47.06.jpg
 
Nilikuwa naangalia safari chanel Tanzania, naona matumizi yake yameanza kubadilika, sijui ni kukosa ubunifu au kukosa vipindi

Leo walikuwa wanaongea mambo ya mega watt na kilowatt tu [emoji23]

Sio mambo ya mbuga zetu au Beach zetu
Very soon wataanza kuongelea mafanikio ya awamu ya tano
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tz tunauhaba w wabunifu,, kuna kipindi kmoja cha wabarbaig uwa kinarudiwa kwa miez sasa icho icho tuuuuuu adi kinachosha,, sijui wAmeshachoka kutmbeoea maeneo mengine wakat kun hifadhi nyingi sana tena sanA sijui wanayumba wipi
Tatizo sio kukosa wabunufu... wabunifu wapo sana sema hakuna maslah.... unapeleka idea/kaz yako ila hawalipi ipasavyo kiasi kwamba watu inabidi wawapimie ubunifu kulingana na malipo yao....
 
Nilikuwa naangalia safari chanel Tanzania, naona matumizi yake yameanza kubadilika, sijui ni kukosa ubunifu au kukosa vipindi

Leo walikuwa wanaongea mambo ya mega watt na kilowatt tu [emoji23]

Sio mambo ya mbuga zetu au Beach zetu
Hiii ni chanel iliyokosa ubunifu. Unashangaa kipindi kimoja watakirudia kila week
 
Mradi mkubwa Kama huu wa MEGAWATI 2100 Ni kivutio Kikubwa Sana Cha utalii

Hasa hasa kwa nchi zetu hizi za hizi za ukanda wa chini ya jangwa la Sahara.
 
Miaka ya zamani hata lile daraja la manzese nalo lilikua kivutio Cha utalii,

Watu walkua wanaenda Hadi kufungia NDOA pale na kupiga picha.

Utalii sio mbuga za wanyama TU.
 
CD Yao ni Ile Ile tangu hii chanel imezinduliwa
Mie nilikua mpenzi sana wa hy chanel ila ss hv kiukwel nishindwa kuielewa nadhani walioianzisha hawakua serious ndio maana wanaanza kuingiza matangazo mengine ambayo kimsingi hayaendani na chanel husika ss hilo swala la Megawati za umeme ingetakiwa waandae ki pindi TBC ndio warushe hy matangazo sio kwny hii chanel halafu hilo swala la hao wadatoga au wabarbaigi kiukwel ht mimi washanichosha sana ukiwasha Tv lazima ukutane na wadatoga ss cjui km ni lengo la kuanzishwa kw hii chanel au wametoka kwny misingi yake na tunakoelekea tusishangae kuona matangazo ya kisiasa yakirushwa humu wahusika wajitathimini km hili swala liko sawa sawa vinginevyo waiondoe baadae wakishaji pa nga ndio wairudishe tena hewan vinginevyo itakosa watazamaji
 
Ukiwa nje ya uwanja unaona makosa mengi, jaribu kuingia ukacheze.

Msiwalaumu kwa kukosa vipindi, ndani ya media industry ya bongo kuna matatizo lukuki msione mwandishi katoa story.

Upande wa hiyo SAFARI CHANNEL nako tusilaumu, hicho ni chombo cja serikali waaandaaji na wengineo unakuta wana maono mazuri sana tatizo budget hapo ndipo UGONJWA unapoanzia.
 
Miaka ya zamani hata lile daraja la manzese nalo lilikua kivutio Cha utalii,

Watu walkua wanaenda Hadi kufungia NDOA pale na kupiga picha.

Utalii sio mbuga za wanyama TU.

Kwenye megawatt za umeme tunatalii kitu gani?
 
Back
Top Bottom