Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lanani lina mkwanja mlefu hapo ila magari makali
Ohoooo!!!Bibi kifimbo cheza umepita.= mrefu
Sina wivu, akipata au akikosa hainisaidii zaidi ya ninachopata.celebrities forum, wacha wivuuuu
Kifimbo cheza kavamia jukwaa.= mrefu
Hahaha namuheshimu sana bi faizaKifimbo cheza kavamia jukwaa.
Asante bibi heshima yako= mrefu
Hiko kibibi kiko vizuri kichwani,usije kukichukulia poa.Hahaha namuheshimu sana bi faiza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kifimbo cheza kavamia jukwaa.
Hivi ni kibibi huwa ananifurahishagaHiko kibibi kiko vizuri kichwani,usije kukichukulia poa.
Ni Bi mkubwa fulani hivi,maana ni mstaafu kwahiyo hawezi kuwa mdada.Hivi ni kibibi huwa ananifurahishaga