TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Ni wajinga tu.mtoto mpaka akue anaenda kuchanjwa clinic mara tano wanajua kilichomo?au hiyo pepsi unayokunywa unajua formula yake?Kilichomo ndani ya chanjo ndio kinawatia wasiwasi wachanjwaji
Wanapata ujasiri kwa vile ni binadamu wasiokuwa tayari kufanyiwa majaribio, pia kwa sababu chanjo hii ukichanjwa bado unaambukizwa, unaambukiza, unaugua na kufariki kwa ugonjwa huo huo uliochanjwa nao.Habari wadau...!
Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri.
View attachment 1944234
Ni kujifanya ujuaji tuNi wajinga tu.mtoto mpaka akue anaenda kuchanjwa clinic mara tano wanajua kilichomo?au hiyo pepsi unayokunywa unajua formula yake?
Tena unakuta ana dose ya ARVNi kujifanya ujuaji tu
Vitu vingapi wanabugia kutwa kucha bila kuhoji…
Kwenu Covid wanajifanya wanayajua mengi
Maarifa madogo
Halafu kanywa paracetamol, soda, kapaka lotion na mafuta ya nywele, anatumia dawa ya mswaki na Ana alama ya nduiTena unakuta ana dose ya ARV
Mliochanjwa mbona km mnateseka sana? Afya yangu in jukumu langu kuilinda.Ni kujifanya ujuaji tu
Vitu vingapi wanabugia kutwa kucha bila kuhoji…
Kwenu Covid wanajifanya wanayajua mengi
Maarifa madogol
Kwani wasipochanja wewe inakuuma nini? Wewe peleka Tak*** lako likapigwe chanjo,mbona unatumia nguvu nyingi kulazimisha watu kufanya mambo ambayo ninyi Hamna faida nayo?Habari wadau...!
Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri.
View attachment 1944234
Process ilizopitia chanjo za watoto tumeridhika nazo.. Na wala hakuna kulipana ili mtu achanje... Na hizo chanjo za watoto umeshaona zina ile form ya kujazwa kabla?Ni wajinga tu.mtoto mpaka akue anaenda kuchanjwa clinic mara tano wanajua kilichomo?au hiyo pepsi unayokunywa unajua formula yake?
Kwa tusiojua lugha iliyoandikwa, ukngetutafsiria basi ili tujue, hii chanjo ya huyu ndugu ni ya nini haswa..!!Habari wadau...!
Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri.
View attachment 1944234
Wahi kwa gwajiboi mapemaKilichomo ndani ya chanjo ndio kinawatia wasiwasi wachanjwaji
If Covid was a non communicable disease sawaMliochanjwa mbona km mnateseka sana? Afya yangu in jukumu langu kuilinda.
Kwanini mliochanjwa mnahofu yakuambukizwa kuliko tusiochanjwa?If Covid was a non communicable disease sawa
But it is not
Mzungu akiamua kukua ni sekunde tu kuna njia nyingi,hizo za watoto unasema umeridhika nazo na hujui content yake,unakumbuka ukimwi kabla ya ARV hali ilikuwajeProcess ilizopitia chanjo za watoto tumeridhika nazo.. Na wala hakuna kulipana ili mtu achanje... Na hizo chanjo za watoto umeshaona zina ile form ya kujazwa kabla?
Kwenye Pespi, tuna mamlaka za chakula zimeshafanya taratibu zao hadi ikawa kwenye soko.. Hiyo chanjo ya korona inapigiwa chapuo sana na kwa namna mbalimbali... NA SIWEZI KUIMAINI CHANJO YA KORONA KISA NINA CHANJO YA NDUI.. HUKO NI KUSHINDWA KUJENGA HOJA
KAma utachanja na bado unaishi kwa barakoa na mengine kama mtu asiyechanjwa..THEN HII CHANJO NI YA NINI SASA?If Covid was a non communicable disease sawa
But it is not
Kwani hali ya kabla ya ukimwi ilisababishwa na chanjo?Mzungu akiamua kukua ni sekunde tu kuna njia nyingi,hizo za watoto unasema umeridhika nazo na hujui content yake,unakumbuka ukimwi kabla ya ARV hali ilikuwaje