daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Huo ugonjwa ulikuwa hauchaguiHabari wadau...!
Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri.
Chanjo ilikuwa dhidi ya ugonjwa wa Plague ugonjwa ulisumbua sana dunia ukaenea Afrika mpaka Ulaya mwisho wake watu wakaamua kuchanjwa.
Historia inasema hapo Ottman Empire ugonjwa ulikuwa unaua si chini ya watu 2000 kwa siku.
View attachment 1944234
Pale Ottman tu ulikuwa unaua si chini ya watu 2000 kwa sikuHuo ugonjwa ulikuwa hauchagui
Ukiambukizwa unakufa
Kwanini mliochanjwa mnahofu yakuambukizwa kuliko tusiochanjwa?
Namaanisha waliogomea ARV na PEP tulishawazika kitambo sana,Kwani hali ya kabla ya ukimwi ilisababishwa na chanjo?
Niuzie mimi 20,000/= nijibu.Habari wadau...!
Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri.
Chanjo ilikuwa dhidi ya ugonjwa wa Plague ugonjwa ulisumbua sana dunia ukaenea Afrika mpaka Ulaya mwisho wake watu wakaamua kuchanjwa.
Historia inasema hapo Ottman Empire ugonjwa ulikuwa unaua si chini ya watu 2000 kwa siku.
View attachment 1944234
Sawa, lakini waliopata hiyo PEP na ARV, hawakupata madhara yoyote yatokanayo na hizo dawa... Chanjo ya korona si umesikia ishu za kuganda kwa damu? Umesikia ishu za chanjo mpaka ifikie kutumika inapita majaribio mangapi na muda gani?Namaanisha waliogomea ARV na PEP tulishawazika kitambo sana,
Au cocacola ile iliopo dunia nzimaNi wajinga tu.mtoto mpaka akue anaenda kuchanjwa clinic mara tano wanajua kilichomo?au hiyo pepsi unayokunywa unajua formula yake?
Nani kakwambia ARV hazina madharaSawa, lakini waliopata hiyo PEP na ARV, hawakupata madhara yoyote yatokanayo na hizo dawa... Chanjo ya korona si umesikia ishu za kuganda kwa damu? Umesikia ishu za chanjo mpaka ifikie kutumika inapita majaribio mangapi na muda gani?
Ile formula ya coca wanaoijua hawazidi watu kumi kampuni nzima na kinachokuja huku ni contena la unga unga tu ambao kazi yetu ni kumix na maji ili itokee sodaAu cocacola ile iliopo dunia nzima
Waulize waliokunywa PEP unaota hadi uko kwenye jeneza,mara unakumbizwa,tumbo kuuma,njaa,kizunguzungu,kutosikia harufuSawa, lakini waliopata hiyo PEP na ARV, hawakupata madhara yoyote yatokanayo na hizo dawa... Chanjo ya korona si umesikia ishu za kuganda kwa damu? Umesikia ishu za chanjo mpaka ifikie kutumika inapita majaribio mangapi na muda gani?
Sijasema hivyo.. Ila kama yapo, linganisha na damu kugandaNani kakwambia ARV hazina madhara
Kuna wajinga walipewa madaraka na mwendazake walituaminisha kwa taratibu za kisayansi na kitamaduni ikaaminika na matokeo yakawa bora.ni wajinga hao hao madarkani wanatuambia tofauti bila kutupa fact tuelewe nini kimebadilikaNi wajinga tu.mtoto mpaka akue anaenda kuchanjwa clinic mara tano wanajua kilichomo?au hiyo pepsi unayokunywa unajua formula yake?
Kipi kilichomo ndani ya chanjo?! Na hicho kilichomo ndani ya chanjo ina maana kipo kwenye chanjo ya corona peke yake?! Hizo chanjo zingine huwa mnahoji kuhusu kilichomo ndani yake?!Kilichomo ndani ya chanjo ndio kinawatia wasiwasi wachanjwaji
Hamna mnachoamini, the so-called mnachoamini ni matunda ya kujazwa ujinga tu!Dunia inapitia mambo mengi sana na sasa kila mmkja anacho mile anachokiamini na asilazimishwe wala kutukanwa kwa kile anachokiamini
Kila mtu ashughulike na anachokiamini kikubwa ni afikwe na ujumbe tu, sasa kuchanjwa au kutokuchanjwa ibaki kwake muhusika na si matusi wala kulazimishana
Hivi suala la side effects kwenye medical world ni jambo la ajabu?! Ulishachunguza kuona ni asilimia ngapi wanaopata hizo side effects?!Sawa, lakini waliopata hiyo PEP na ARV, hawakupata madhara yoyote yatokanayo na hizo dawa... Chanjo ya korona si umesikia ishu za kuganda kwa damu? Umesikia ishu za chanjo mpaka ifikie kutumika inapita majaribio mangapi na muda gani?