Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kabisa, nakumbuka kwenye ile ya Dodoma waliweka upuuzi waoThis time hawajamuwekea kilainishi mezani na kupiga picha kumchafua
hahahaKabisa, nakumbuka kwenye ile ya Dodoma waliweka upuuzi wao
Wajinga hawana akiliKabisa, nakumbuka kwenye ile ya Dodoma waliweka upuuzi wao
Hili hata mimi limenishangaza sana. Unawezaje kufanya hivyo ukiwa Bongo. Labda kuna kundi lilikuwa nyuma yake wakiamini watatake over nchi ASAPPole Pole asingetakiwa kuwa nchini..... !
Angerusha mawe akiwa nchi nyingine kabisa, hapa bongo chap tu wanakubeba
Lord have mercy on him
Ungekuwa ni yeye ungefanyajeKwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.
Bado mapema, stay calm.Hili hata mimi limenishangaza sana. Unawezaje kufanya hivyo ukiwa Bongo. Labda kuna kundi lilikuwa vyuma yake wakiamini watatake over nchi ASAP
Kabugi sana, means hakuna na CCTV camera, hakuna na tunnel ya kuchomokea, kifupi hakujipanga kujifichaKwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.
Mtandao umemsaliti.Namba zake za simu,miamala vocha n kKwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.