PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

Daah amekamatwa ki ndezi sana.
Dola si ya kuweka nayo ligi kama huna background kubwa.
Nimeumia mno kuona zile damu na sijui hatma yake itakuwa hali gani.

Vilevile inaweza kuwa sadaka damu yake kuamsha mwamko mpya wa taifa .
 
Kama Ossama alikamatwa, unadhani Polepole alikuwa na nguvu kiasi gani cha kujificha asikamatwe?

Polepole alijua siku zake zinahesabika ndo maana hata hakukimbia nchi.

Najua atauawa, lakini Mungu atamlipia uovu huu. Amina.
 
Back
Top Bottom