kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 765
- 779
Kinder!!Kwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.
Kinder!!Kwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.
Labda alikuwa anatumia simu. Wanakulocate kirahisi.Kwanini aliishi kindezi hivyo, walivyomkamata, inaonesha kabisa hakujiandaa na suala la kuvamiwa, ye aliishia kwenye kuamini kujificha, alikosea saana.
Wengine wanasema wacha tuone hii picha inakoendea! Yani wanaona kama movie na kitu cha kujipozea. Yani sisi tunashida kubwa sana. Na hawa watu wameshatujua. Huyu Polepole kesho tu tatakuwa tushamsahau. Wakiweka match ya Yanga na Simba au Diamond kaongeza mke wa pili ndio kabisaaaaaa.. by saa tano usiku wa leo story inageuka, hakuna tena Polepole. Sisi tunachosha. Bora wanaopambana watuache tu.Hivi sisi watanzania na watanzania wenzangu hapa jf ndo ma GT kweli nyie?
Haiingii akilini eti mwenzetu amabaye amesaidia hadi tumeyajua mengi leo anakamatwa na hata akiuawa sie tuko tu hapa tunashangaa kwanini asikimbie, kwanini sijuhi nini.
Tunaanza lini kuona namna gani ya kupambana mwenzetu aachiwe huru? Hakuna. Hatujadili hilo, ni kweli kuna ugumu lakini kwanini hata maongezi yetu hayaonekani kuelekea huko?
Hapa sie ndo tunalia mambo magumu, wakitokea kama hawa wa kututetea wakikamatwa na sie basi hatuongei tena ..why? Sasa ikiwa hivi sie wenyewe wala hatujigusi ni nani atakaa mbele tena kusimama walau kutusemea?
Disappointment kubwa sana hii, tunajadili kama umbea hivi wakati tunatakiwa kuwa tunajadili nini kifanyike, kesho tufanye nini, nini way forward?
yeye mbona kawafanyia ubaya wenzake
Tueleze japo kwa ufupi Mkuu kwa faida ya wengiSiku zote hujui matumizi ya green screen !?
Nenda kagoogle utaona balaa lake
Hahaha sisi wa Tz usijaribu kutuelewa. Utapoteza muda. Jana tu walikua wanatukana wakosoaji wa serikali walio nje ya nchi. Leo wanasema Polepole hakuwa smart kukosoa serikali akiwa nchini. Tena wanasema wamekwazika sana kujua kwamba kumbe Polepole alikua Tz.Sio nyie kila siku mnasema wanaowapigania wasikimbie nchi waje mpambane pamoja!! Au ndio hamjui mnachotaka🙆♂️🙆♂️🙆♂️
APole Pole asingetakiwa kuwa nchini..... !
Angerusha mawe akiwa nchi nyingine kabisa, hapa bongo chap tu wanakubeba
Lord have mercy on him
Ndio maana nawashangaa sana wanaohangaika na inayoitwa "ukombozi". Watz sisi ni wa kuachwa tu, tunyoosgwe na shida zetu hadi akili zitukae sawa.Hahaha sisi wa Tz usijaribu kutuelewa. Utapoteza muda. Jana tu walikua wanatukana wakosoaji wa serikali walio nje ya nchi. Leo wanasema Polepole hakuwa smart kukosoa serikali akiwa nchini. Tena wanasema wamekwazika sana kujua kwamba kumbe Polepole alikua Tz.
Kwenye vita yeyote kuna kushinda au kushindwa Mkuu. Mengi yanawezekana. Huenda pia alizidiwa tu mbinu au jeshi lake lilimsalitii.Suala sio kutajana, suala ni aliishi kizembe, hakuweka mawazo ya kuvamiwa, aliwekeza nguvu kwenye kujificha
We jamaa ni kama unatengenezaga angle jambo fulani Ila uanze kubishana, hapo mtabishana siku nzima wiki nzima jambo hilo hiloUkimuamini Mungu kweli unaweza kuruhusu nyoka mwenye sumu akuume, kwa sababu imeandikwa ukiamini hata sumu ya nyoka haitakudhuru.
Ukiogopa kucheza na nyoka hivyo, maana yake ni kwamba humuamini huyo Mungu hivyo.
Polepole alipata false confidence sana, partly kwa sababu ya kuamini Mungu anamlinda.
Huelewi wapi?
Mimi sijatengeneza angle.We jamaa ni kama unatengenezaga angle jambo fulani Ila uanze kubishana, hapo mtabishana siku nzima wiki nzima jambo hilo hilo
Wala sikuhitaji maelezo yote hayo sababu mm sipo kwenye hayo ya polepole na Imani yakeMimi sijatengeneza angle.
Polepole alisema analindwa na Mungu wa mbinguni na hilo lilimpa confidence kufanya alichofanya.
Hakuna video ya Polepole ambayo hakumtaja Mungu wake wa mbinguni.
Polepole alikuwa anamtajataja sana Mungu kwenye videos zake zote.
Kwa nini unasema mimi natengeneza angle wakati haya ni maneno ambayo aliyasema Polepole mwenyewe?
Yani maneno aseme Polepole, mimi nije kuwaonesha tu role ya faith katika decision process ya Polepole, kwa ushahidi wa maneno ya Polepole, halafu unasema mimi natengeneza story?
Mbona hapa wewe ndiye unatengeneza story kwamba mimi natengeneza story?
Wala sikuhitaji maelezo yote hayo sababu mm sipo kwenye hayo ya polepole na Imani yake
Mimi nilichosema huwa unatafuta sababu ili uanze kubishana siku nzima na wiki nzima kwa jambo hilo hilo
Hapa kwenyewe unatamani tuendelee kubishana siku nzima as if hatuna kazi zingine za kufanya
Kuna ushahidi gani kwamba hiki ni chumba cha SlowpolePicha za Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia na kuzungumza LIVE na Watanzania, akionekana na Ile Black Screen nyuma.
Soma:
- Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele
- Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
Kunywa maji pumzika, unamaliza miti bure tu😅Utapewa maelezo yote tu unayoona unayahitaji na unayoona usiyohitaji, ili mradi yana logic.
Kitu kikubwa hapa wala si wewe, ni hoja. Kwa sababu hapa wanasoma watu wengi zaidi yako wewe.
Let's list the facts.
Fact 1.
Polepole alisema sana kuwa yeye analindwa na Mungu, na haogopi kwa sababu analindwa na Mungu.
Fact 2
Imani ya kulindwa na Mungu, kwa mtu anayeamini kweli kabisa deeply kwamba analindwa na Mungu, huondoa woga fulani wa kumfanya mtu aongeze ulinzi na awe cautious. Imani hii pia inampa mtu delusions of grandeur kwamba yeye ana mission maalum ya Mungu, hata akishikwa ni kwa ajili ya kazi ya Mungu.
Basically some sort of "Messiah Complex".
Sasa mimi kuja kuunganisha tu mambo, kutoka kwenye maneno na matendo ya Polepole mwenyewe, kuwaelezea watu imekuwaje Polepple akawa careless hivi, nikaeleza kuwa mnaona kawa careless kwa sababu hamjaangalia imani yake, ukiangalia imani yake utaona yupo consistent na imani ya kulindwa na Mungu.
Sasa hapo story niliyotengeneza ambayo haitokani na maneno na matendo ya Polepole ni ipi?
Haya ni maneno ya mtu aliyeshindwa kujibu hoja kwa hoja.Kunywa maji pumzika, unamaliza miti bure tu😅