Hivi sisi watanzania na watanzania wenzangu hapa jf ndo ma GT kweli nyie?
Haiingii akilini eti mwenzetu amabaye amesaidia hadi tumeyajua mengi leo anakamatwa na hata akiuawa sie tuko tu hapa tunashangaa kwanini asikimbie, kwanini sijuhi nini.
Tunaanza lini kuona namna gani ya kupambana mwenzetu aachiwe huru? Hakuna. Hatujadili hilo, ni kweli kuna ugumu lakini kwanini hata maongezi yetu hayaonekani kuelekea huko?
Hapa sie ndo tunalia mambo magumu, wakitokea kama hawa wa kututetea wakikamatwa na sie basi hatuongei tena ..why? Sasa ikiwa hivi sie wenyewe wala hatujigusi ni nani atakaa mbele tena kusimama walau kutusemea?
Disappointment kubwa sana hii, tunajadili kama umbea hivi wakati tunatakiwa kuwa tunajadili nini kifanyike, kesho tufanye nini, nini way forward?