LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Lakini hawa Takukuru mie binafsi naona waganga njaa tu hata siku moja hawajawahi kumkamata kigogo yoyote zaidi ya kuwaonea mahakimu na watu kama hawa ambao hawana nguvu za kiuchumi.
Ritz unamaana gani? Vavanua kwanza ! Ha ha ha aaaaaaaa