Nashindwa kuelewa kwanini watu wote mnampa pole huyu daktari na nesi!! Ni kwa vile picha imewavutia au na nyinyi ndio wale wale mnaoishi kwa kula rushwa ati mkiziita rushwa ndogondogo? Tusiwe na double standards hata na sisi raia. Let us call a spade a spade. We can never change if we do not define what is bad. It should not matter what is big or what is small, bad is bad basi.
Imagine wewe ndio ungekuwa umepata ajali unapelekwa hospitalini halafu mtu alieapa kukutibia mbele za mungu na wanadamu anakumabia bila milioni moja utabakia kulala tu hapo kitandani? Hawa watoa huduma za afya lazima wawe binadamu otherwise waachie ngazi wakatafute hizo pesa kwingine sio at the expense of people's health and lives!!
Hate if you want but they have gone too far!!