Yaani dokta kasomeshwa na kodi za masikini, hospital ya serikali, dawa na vitanda vyote vya serikali. BADO ANATAKA MILIONI YA MTU ALIYEVUNJIKA MGONGO.......madokta hivi mnaamini kuna Mungu .
Kwenye hili wala hautasikia tamko toka kwa TGNP,Mama Ananilea Nkya au Kijo Bisimba! Shame on you Doctors! Ndiyo nyie mnaotaka kuongezewa mishahara kufikia mil 3?