Picha: Diamond akiwa studio na D'banj nchini South Africa

Picha: Diamond akiwa studio na D'banj nchini South Africa

Tehe wapo kwa ajili ya kufanya kazi maalum sio kolabo ya kupiga vita umasikini kwa kupitia kilimo wapo na ay
 

Attachments

  • 1392667099111.jpg
    1392667099111.jpg
    38.1 KB · Views: 241
Platnum mimi huwa namkubali kwanza anapenda kazi yake na kujitambuwa sio kama hawa tulionao wavuta semne pombe na bangi ilimradi iwe mix kwao sawa nyambafu
 
fanya mengi zaidi diamond buddy!

iam your follower..!

ila ukizingua...
 
Ay anahusika vipi?

Ay na diamond ndio waliochaguliwa kutoka tanzania na kuna wanamuziki wengi kutoka afrika akiwemo dibanj wala hawapo hapo kwa ajili ya kolabo yao binafsi wapo kwa ajili ya kolabo na wanamuziki kibao ni maalum kupiga vita umaskini kupitia kilimo
 
Nampa hongera zake za dhati kabisa, go boy.

ila reshuffle kwenye management yake ni muhimu, Diamond sasa lazika awe na mtu wa PR professional au mwenye good experience, wewe heaven on desert unachafuwa image nzuri ya Diakond hapa JF.

imenichukuwa muda sana angalau kidogo kumjuwa Diamond mpaka nilipoona interview yake kwenye Sporah show ndio nikagunduwa huyu mpiga picha wa Diamond abaki kuwa Cameraman tu PR hajui.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huwa unaelewa unachoandika?

prince wa bongo flavour au ulitaka kumaanusha nini?

kama mnajitapa kuwa hana mpinzani Leo unaposema ye prince king ni nani?

silly.

Mkuu matumizi ya haya maneno ni utata mtupu kwa wengi.....
 
Upepo unavumia upande wake ndio muda wake asichezee bahati hiyo.
 
Haya mbona kila siku zinavyoenda anakua mweupe hizo Camera zenu zina nini?
 
Tofaut kat ya gentleman n sharoman utaiona 2,check poz ya Diamond ya pick then check poz ya D Banj
 
Back
Top Bottom