Picha: Diamond amnunulia ndinga mpya Zari

Picha: Diamond amnunulia ndinga mpya Zari

Mpwaaaaaaah taratibu mambo yakoooh, mbna sion hiyo caption? Au macho yangu yapo quarantine lol[emoji23][emoji23][emoji23]

Usiniambie wamekupofua macho mpwa[emoji23], caption c kwenye picha hapo baba T
 
Usiniambie wamekupofua macho mpwa[emoji23], caption c kwenye picha hapo baba T
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo nmeona mpwa hapo kwa chini lol, eeeeh huyu bidada ana [emoji294] mweeeeeeh
 
Wiki mbili hizi mbaya sana kwa domo ,katoa audio tu msiba huoo ukateka insta. Katoa video shishi na uchebe wake wamejaa tele insta.

Kapewa kiki south bado watu hawashtukidaah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila wewe nimecheka
 
K inalipa sana mjini nashangaa pisi kali mjini zinalia njaaa, na siku ya mwisho zitaulizwa kwa nn zilishindwa kutumia K vizuri ata zitoe zaka tu,🤣🤣🤣

Ww ndo master wa wambea nakwelewa mama hadi na picha unatoa, unafaa kuwapa shilawadu extra ata script kidogo
 
Back
Top Bottom