Picha: Diamond atembelea moja ya nyumba anazojenga

Picha: Diamond atembelea moja ya nyumba anazojenga

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Kuna midude itaponda wakati hiyo hiyo bado inaishi kwa wazazi wao ambao bado wamepanga hapa mjini
go diamond,go,mimi na fans wako tunakuombea mafanikio zaidi kimziki na kimaisha
 
Nyumba ndogo sana kwa kipato chake.....lol another hater. Mungu azidi kubariki
 
Alitakiwa ajenge ziiiinga la kasri!!kama taj mahal vile!!lol!
 
congrats diamond! sukari ya warembo itageuka sukari gulu!!
 
Niulize swali je hiyo ndio ya million 260?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unapouliza swali na wewe weka picha ya mjengo wako kwanza
 
Haya bana hiyo hata 100 haifiki

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Gharama za ujenzi wa nyumba hiyo ni around 50m+kiwanja?=???

Atakua anamjengea yule demu wake 'aka' kidoti!
 
That is spending Money, not making Money. It is what business you own, that matters.
 
Hongera Diamond kwa kumiliki kichali cha ndege pori,si haba!
 
kajitahidi,ingawa kwetu nyumba kama hiyo tunaitumia kufugia nguruwe
 
Hiyo ni nyumba ya kuishi binadamu au mifugo?
 
Back
Top Bottom