Picha: Diamond platnumz-Ahsante mh. Rais kwa kuwajali vijana wako wanaojituma!

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
Thursday, June 5, 2014

kutoka kshoto ni Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Rais Dkt Jakaya Kikwete.

Hivi Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja na Yeye mwenyewe walikaribishwa na Mheshimiwa Rais ambapo mbali na mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza Diamond katika mafanikio yake ikiwa nipamoja na Kuchaguliwa kuwania tuzo za BET hapa nchini Marekani.Raisi hakuwahi kupata nafasi ya kumpongeza kijana huyo kwani wakatimatangazo yalipotoka Diamond alikuwa nje ya nchi.Mheshimiwa pia alimkutanisha Diamond na aliyekuwa Raisi wa Def Jam Record/Warner Bros Music group Mr Kevin Liles ambaye alionyesha nia ya kufanya mambo makubwa na Diamond.

Kevin ni Multi Millionare mwenye utajiri wa zaidi ya Dollar Milioni 60 ambaye kwa sasa ni manager wa wanamuziki Trey Song,Big Sean,Ty Dolla Sign,Kuna uwezekano mwanamuziki Diamond akawajoin Hao hivi karibuni..waingereza wanasema(hard work pays)Congratulation to Diamond for hard work and Thank you Mr President for Supporting your Youths.

Kuna jambo liliwafurahisha kutoka kwenye video za Diamond
Je wataka kujua Nini hapa kilikuwa kikizungumziwa?

Kevin akiangalia Video ya Diamond akiwa Congo kwenye simu yake.

at 2:56 AM

Vijimambo
 
Lakini pamoja na yoote... Rais wetu very COOL...

He will always be there 4 his Support...
 
Haya bana na hayo ni mambo muhimu etiii,,!!!
 
Ila hapa ndiyo wapiga KURA wa Tanzania wanampima kwa kiwango cha juu kwamba ndiye Rais anayewajali. Yani hii ni bonge la Promo kwa Mh. Dk. Jakaya M. Kikwete.
 
......Na bado picha anazopiga ICU na wagonjwa mahututi! Na bado hiyo title ya Dr aliyojiongezea.....Usanii kwa mbele!Ndio vipaumbele vyake ati! Comical Kikwete
 
Mimi nimependa hiyo laptop inavyozunguka meza..
 
Kwani Obama alivyokuja bongo si alimuomba Mpoto afanye colabo na Jay Z lol
 
Rais wetu ameyakimbia majukumu tuliompa akaamua kuwa promota

Kuitangaza nchi ni jukumu la kila mtu kuanzia Rais hadi mwananchi wa chini. Kosa lake jk liko wapi? Muwe mnapunguza kujitoa ufaham kwa ubishi wa kijinga. Obama kaja bongo na mwana-mama aliyevumbua kuzalisha umeme kupitia mpira wa miguu hiyo yote ni kuwatangaza waamerika na amerika yao mbona hamjamnanga kwa umbea wenu???
Unadharau wasanii wa tz kupigiwa promo na prezdaa vp kuhusu kuwa na dj mwenyekiti na mbunge msanii wa miziki ya kufokafoka kwenye ukawa zenu???

Punguza nye.ge utaolewa.
 
Msitake kutuzingua, nchi haieleweki ipo wapi inaenda wapi, jamaa yupo kuzunguka na wauza sembe,hapo ukute mzigo wa haja umefika ulipotakiwa watu wanapeana pongezi.Watu wanakufa mahospitalini baba wa nyumba kutwa kufatilia dili za sembe ,Tuongeze maombi hili janga lipite haraka
 
Ha haaaa!..achana na dj wa bilicanas Wanaye pia mc kichwa maji sugu, aliwahi kutoa album nzima ya matusi.wenyewe wanamwita mkombozi wa watanzania. Na mwakani mkombozi mwingine bangi mtu afande sele anaungana nao!
 
Yaani watu wana elimu zao na vipaji vya kuweza kulijenga taifa na ambao wangehitaji msaada wa huyu jamaa yeye anahangaika na wakata mauno,sasa sisi hao wanatusaidia nini wkati kazi yao ni kutuburudisha.Halafu kama huyo millioner sura imekaa kiunga unga vile,tusubiri mtajaniambia mbeleni,Wapi Matonya,mtafute muulize nini kilimpata,mpaka sasa hata single hatoi
 
Kuitangaza nchi ni jukumu la kila mtu kuanzia Rais hadi mwananchi wa chini. Kosa lake jk liko wapi? Muwe mnapunguza kujitoa ufaham kwa ubishi wa kijinga. Obama kaja bongo na mwana-mama aliyevumbua kuzalisha umeme kupitia mpira wa miguu hiyo yote ni kuwatangaza waamerika na amerika yao mbona hamjamnanga kwa umbea wenu???
Unadharau wasanii wa tz kupigiwa promo na prezdaa vp kuhusu kuwa na dj mwenyekiti na mbunge msanii wa miziki ya kufokafoka kwenye ukawa zenu???

Punguza nye.ge utaolewa.
kwani wewe vipi mumeo alishakupa talaka? Ukimaliza siku zako njoo tufanye show
 
Msitake kutuzingua, nchi haieleweki ipo wapi inaenda wapi, jamaa yupo kuzunguka na wauza sembe,hapo ukute mzigo wa haja umefika ulipotakiwa watu wanapeana pongezi.Watu wanakufa mahospitalini baba wa nyumba kutwa kufatilia dili za sembe ,Tuongeze maombi hili janga lipite haraka

Kama mpaka sasa hujui nchi imetoka wapi na inaelekea wapi basi huna tofauti na fa.la au shoga anayewaza kuf.r.wa tu...huoni kilichofanyika mpaka sasa? Unataka rais amjengee mamaako nyumba ya kulala?
 
Msitake kutuzingua, nchi haieleweki ipo wapi inaenda wapi, jamaa yupo kuzunguka na wauza sembe,hapo ukute mzigo wa haja umefika ulipotakiwa watu wanapeana pongezi.Watu wanakufa mahospitalini baba wa nyumba kutwa kufatilia dili za sembe ,Tuongeze maombi hili janga lipite haraka

wabunge wa chadema si wapo kwani wamefanya nn cha ajabu hata marejani watu wanakufa na masikini wapo mabadiriko yanaanza na wewe sio na mtu mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom