Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Wakati wa Shujaa wa Africa hakuonekana kwenye mikutano kama hiiNamuona sawia na kanali Kinana!
Kabisa yupo kuhakikisha mambo yanaenda vizuri.Namuona sawia na kanali Kinana!
Mrundi kafukuzwa na ccm asili,aende chato akakae na mrundi mwenzakeKatibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi .
View attachment 1768714
Katika Mkutano huu unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan anapigiwa kura ili kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma.
MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
Hakika Kazi Inaendelea.
"Chuki ni mzigo usijisumbue kuubeba"Neno mstaafu linatumika Vibaya sasa, mtu ana Uchu mpaka unaonekana machoni bado anaitwa Mstaafu
Alihudhuria Mkuu Mikutano na vikao vya Halmashauri KuuWakati wa Shujaa wa Africa hakuonekana kwenye mikutano kama hii
Hatuwezi kujifunza kwa Moi maana alishindwa hata kusameheana na Lena mpaka wanakufa"Chuki ni mzigo usijisumbue kuubeba"
Daniel Arap Moi (Rais Mstaafu wa Kenya)
Katibu MKuu Mstaafu.Bashiru anaingia kama nani kwenye huo mkutano?
Ni vema mkuu ukarejea hotuba zake akiwa anaelekea kumaliza utaelewa wazi kwa nini wakenya wanamheshimu sana.Hatuwezi kujifunza kwa Moi maana alishindwa hata kusameheana na Lena mpaka wanakufa
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi .
View attachment 1768714
Katika Mkutano huu unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan anapigiwa kura ili kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma.
MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
Hakika Kazi Inaendelea.
Kwa miaka 5 alihurudhia mingapi kama huo?Alihudhuria Mkuu Mikutano na vikao vya Halmashauri Kuu
Moto wa kuotea mbali. Kidumu Chama Cha MapinduziHuyu ni Jabali kweli kweli
zaidi ya nusu ya vikaoKwa miaka 5 alihurudhia mingapi kama huo?
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi .
View attachment 1768714
Katika Mkutano huu unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan anapigiwa kura ili kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma.
MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
Hakika Kazi Inaendelea.
Ni mualikwa tu sio mjumbe soma hiyo badge vizuri. Kiufupi kaingia kama observer with no voting rightsKatibu MKuu Mstaafu.
Naona una demka tuzaidi ya nusu ya vikao
Kwa kukusaidia maana unakosa uelekeo.Naona una demka tu