Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi .
Katika Mkutano huu unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan anapigiwa kura ili kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma.
MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
Hakika Kazi Inaendelea.