PostGE2025 Picha: Dogo Janja akila kiapo kuwa Diwani wa Ngarenaro

PostGE2025 Picha: Dogo Janja akila kiapo kuwa Diwani wa Ngarenaro

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende maarufu Dogo Janja akiapa kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro, Halmashauri ya Jiji la Arusha leo, Desemba 4, 2025.

SnapInsta.to_588054912_18513803290065701_967332449469341395_n.jpg
 
Umeanza kupangia watu pakupost sasa we pimbi nini we meza tu hata kama ni. UB*+*"#o#@0
Kama mlikuwa mnajua umuhimu wa hili jukwaa mlifungia kwanini ??
Tukiwaambia mna changamoto ya akili mnaishia kuteka watu pumbavu

Hili jukwaa Lina heshima yake ni la Great thinker sio upuuzi upuuzi
 
Kama mlikuwa mnajua umuhimu wa hili jukwaa mlifungia kwanini ??
Tukiwaambia mna changamoto ya akili mnaishia kuteka watu pumbavu

Hili jukwaa Lina heshima yake ni la Great thinker sio upuuzi upuuzi
So na wewe ni great thinker..... Au kutumia VPN ushajiona hivyo

We ni pimbi tu mmoja ulieshikiwa akili na kujazwa mavi kwenye ubongo ukajiona mjanja
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Nimevutiwa tu na style za nywele. Dogo Janja rasta. Kule Meya Shetta ana panki/kiduku. Ni hatua.
 
Back
Top Bottom