Picha: Donald Trump aliigiza filamu ya Home Alone

Hivi mkuu kati ya tajiri na masikini nani ana stress
Ni matajiri wachache wanaolala usingizi halisi, Maskini anaweza kulala kuanzia SAA moja hadi saa kumi na mbili asubuhi.

Tajiri kulala mpaka atumie madawa ,pombe Kali au bangi hapo ndio atazima kabisa.
 
tehteh...si ajabu hata ile hotel ikawa yake.........#MROPPORTUNIST
 
Umetisha sana mkuu hakika ni yeye sasa ntakwenda kuthibitisha kwenye majina, lakini pia nadhani huo mjengo ni moja kati ya vitega uchumi vyake huko New York
 
Ni yeye kabisa enzi hizoo huyo.kelvin yeye kawa.mteja kabisaa
 
Ali act pia kwenye sex and the city? I just hope alikuwa mpenzi wa Samantha. Sex & the city, My favorite tamthilia
 
mi pia sikumbuki kama trump yupo japo hata majuzi hapa niliiangalia
 
Nani aliyeangalia ile filamu aligundua hili?
Wengi wetu tuliiangalia hiyo muvi tukiwa watoto na trump tulikuwa hatumjui so ni ngumu kwa sasa kukumbuka waigizaji wengi wa mule, huyo kelvin mwenyewe tukimuona sasa bila kutajiwa jini unaweza usimjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…