BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Hivi mkuu kati ya tajiri na masikini nani ana stress
Tajiri ana stress nyingi sana. Masikini hana chakupoteza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu kati ya tajiri na masikini nani ana stress
Hivi mkuu kati ya tajiri na masikini nani ana stress
Tajiri ana stress nyingi sana. Masikini hana chakupoteza.
Inategemea na aina ya utajir lknBora kuwa tajiri stress zako utazimalizia ndani ya range rover.
Ni matajiri wachache wanaolala usingizi halisi, Maskini anaweza kulala kuanzia SAA moja hadi saa kumi na mbili asubuhi.Hivi mkuu kati ya tajiri na masikini nani ana stress
Daah we jamaa...!!Haahah Lost in NEW YORK. Nilikua cjagundua
Nani aliyeangalia ile filamu aligundua hili?
Naona kawa chizi kabisa!Nipo siriazi mi nawafutilia sana mastaa wa Marekani, nawajua kweli, huyo dogo nusu afariki duniani, hivi sasa kuna muvi mpya anacheza ambayo ana akisi maisha yake wakati akila ndaga. Alikonda balaa. Soma hapo chini:
www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-2455568/Macaulay-Culkin-looks-healthy-battling-drug-addiction
![]()
Picha hii ilikuwa mwaka 2012
Na kwa sasa ndo amegain
![]()
Kiboko ya waislamu