Picha: Donald Trump aliigiza filamu ya Home Alone

Picha: Donald Trump aliigiza filamu ya Home Alone

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
ImageUploadedByJamiiForums1450767790.559878.jpg
Kama ukikuwa hujui sasa nakujuza rasmi.Ni kuwa mgombea urais mbabe wa marekani Donald Trump aliwahi kuigiza kwenye filamu ya vichekesho ya Home Alone 2.
 
Na Pia ametoka Kliniki maana alikuwa anatumia ndaga balaa
Be seriously big bro.mimi nahisi tatizo la masta wengi kudumbukia kwenye hili tatizo ni mkazo wa kazi i think.juzi kati mpk lady gaga naye alikuwa pusher
 
Be seriously big bro.mimi nahisi tatizo la masta wengi kudumbukia kwenye hili tatizo ni mkazo wa kazi i think.juzi kati mpk lady gaga naye alikuwa pusher

Nipo siriazi mi nawafutilia sana mastaa wa Marekani, nawajua kweli, huyo dogo nusu afariki duniani, hivi sasa kuna muvi mpya anacheza ambayo ana akisi maisha yake wakati akila ndaga. Alikonda balaa. Soma hapo chini:
www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-2455568/Macaulay-Culkin-looks-healthy-battling-drug-addiction
the-story-of-what-really-happened-to-macaulay-culkin-when-his-star-started-to-fade-pictur-448394.jpg

Picha hii ilikuwa mwaka 2012

Na kwa sasa ndo amegain
macaulay-culkin.gif
 
Mungu wangu kumbe unga mbaya hvyo ni alikosa hela au

Ulaya wanaokula unga ni wenye fedha, Stress zinawasumbua sana hawa mastaa, kwa sasa amegain yupo poa na inadaiwa ameamua kucha ngada
 
Ulaya wanaokula unga ni wenye fedha, Stress zinawasumbua sana hawa mastaa, kwa sasa amegain yupo poa na inadaiwa ameamua kucha ngada
Hivi mkuu kati ya tajiri na masikini nani ana stress
 
Back
Top Bottom